Jenerali Kiwelu: Nilimnyima Sokoine siri za kijeshi vitani

Nimesoma mahojiano baina ya raia mwema na Jenerali mstaafu Tumainieli Kiwelu. Mahojiano ni marefu, nimevutiwa sana uongozi wake katika vita dhidi ya Idd Amin na ukuu wa mkoa baada ya vita. Baada ya vita anasema “..unajua watu walikwishaonja kutoa roho za watu. Huwezi kucheza nao hivi hivi, ikabidi tupangane upya.” Akasema (Nyerere) “sasa wewe bwana umemaliza kazi hii nakushukuru…sasa ninataka kukupa kazi nyingine…nikamwambia sawa, nipo tayari kwa kazi yoyote, akaniambia utakwenda kuwa mkuu wa mkoa wa Tanga. Nikamwambia naenda lakini hii kazi sijawahi kufanya sasa ukiona nafanya vibaya uniite, na mimi nikiona kuna tatizo nitakuja”.

Kiwelu Tanga

Akiwa Tanga kama mkuu wa mkoa Jenarali Kiwelu anasema changamoto kubwa kabisa ilikuwa uvivu wa wananchi wa Tanga. “Waswahili wangu wa Tanga ni wavivu, hawakuwa na maendeleo. Sasa walikuwa wanakaa pale kwenye nyumba zao za nyasi mjini, nikawaambia sikilizeni, hatuwezi kuishi hivi..mtu lazima afanye kazi na mjiwekee kipato na mtengeneze nyumba. Wakauliza tutatengenezaje na hatuna mashamba kwa ajili ya kutupatia kipato?” Jenerali Kiwelu akawatafutia mashamba huko Muheza. Akawatafutia mabasi yakawa yanawachukua mjini kwenda shamba na kuwarejesha. Pia akaamuru wapimiwe viwanja vyao ila nyumba zao za nyasi zisibomolewe bali wajenge za matofali kuzunguka zile za nyasi, wakifikia kupaua ndo wabomoe. Kwa hiyo kupitia mkakati huu nyumba za nyasi Tanga mjini na mpango holela ziliondoka na watoto wakasomeshwa kupitia kilimo.

Kiwelu Rukwa

Baada ya kuongoza Tanga kwa miaka mitatu alihamishiwa Rukwa. Huko wananchi wake walikuwa wachapakazi ila walikuwa wakichapa kazi bila utaratibu. Jenerali akaazimia Rukwa walime kwa ajili ya kujipatia kipato badala ya chakula tu. Anasema wakati huo Mbeya, Iringa na Ruvuma ndo ilikuwa ikiongoza kwa uzalishaji wa chakula (the big three), akaazimia mkoa wake uwe wa nne. Ilibidi kuanzisha darasa la wakulima, ambapo wakulima walifundishwa ukulima wa kisasa, kisha akaomba fedha kwa ajili ya mbegu ambapo mbegu walizonunua Kenya hazikutosheleza hivyo akaanzisha shamba la mbegu eneo la Mlundika hivyo upatikanaji a mbegu ukawa endelevu. Ili kutatua changamoto ya pembejeo, walinunua plau kutoka Zimbabwe. Mwaka wa tatu mazao yakawa mengi. “…nia yangu pale ilikuwa kupata mazao mengi ili kushindana na mikoa mingine ya kilimo, na ikibidi hata kuwazidi lakini kwa manufaa ya watu wangu hasa katika kuongeza kipato chao maradufu au zaidi.”

Baada ya hapo alienda Kagera lakini nimependa “legacy” yake katika mikoa aliyopitia. Kumbe umaarufu wa Rukwa katika uzalishaji wa chakula haukutokea hewani. Nimeona kuwa ni kiongozi aliyekuwa mwadilifu, mwenye maono (vision), uthubutu, amri na ushawishi. Pia nimependa pale alipoteuliwa na kusema hakuwahi kufanya kazi ile ila akifanya vibaya aitwe, akishindwa ataomba msaada. Nimeona kuna haja ya kiongozi wa nchi kuelewa huu ukweli kuwa kiongozi anaweza kuwa mzuri sana ila kwa kukosa uzoefu katika eneo husika akachemsha baadhi ya mambo, hivyo kustahili nafasi ya pili na kuelekezwa. Natamani kupata maoni ya “Waswahili wa Tanga” wa enzi za Kiwelu watupe uzoefu wao wakati wanapanda mabasi kupelekwa shamba, mpaka mazao yalipoiva, wakauza na kuweza kujenga na kusomesha watoto. Je, ilikuwa rahisi, hawakunung’unika na wengine hawakukimbia? Mambo ya hiki bure kile bure tuache, tuwezeshe wananchi kugharamia maendeleo yao wenyewe. Waliaji, walalamikaji na wanung’unikaji hawatakosekana lakini kwa weledi, maono na nia ya dhati ya viongozi wetu tutafika.
 
Nini kilimfanya asiendelee kubaki jeshini? Ni wale watu waliiokuwa wamezoea...? Nimependa alivyoliweka hapa kwa sababu limebeba ukweli mkubwa na ujumbe mpana juu ya hatima ya maisha ya Generali ndani ya jeshi.
 
nami pia nimejifunza kitu kwenye hilo jibu lake maana nilikuwa mmojawapo wa watu waliokuwa wanashangaa wanajeshi kuwa wakuu wa wilaya na mikoa baada ya kustaafu.
 
Huyu JENERALI MSTAAFU ACHANA NAE HANA LO LONGO WALA KULEANA FIKIRI ZAMA ZILE WATU WALIISOMA NAMBA .NA TUKIPATA WAKUU WA MIKOA KAMA KIWELU HAKIKA TUTAENDA MBELE HATA WAPINZANI WANGEMUELEWA LUGHA YAKE UMETUKUMBUSHA KIONGOZI WA MFANO
 
Bahati nzuri akiwa mkuu wa mkoa wa Rukwa ..nilishuhudia akimtandika viboko mwalimu wetu wa zamu wiki hiyo mbele yetu wanafunzi...baada ya kumkuta amelewa na apepesuka ..daah ..mzee yule hakuwa na utani hata kidogo
 
Nimesoma mahojiano baina ya raia mwema na Jenerali mstaafu Tumainieli Kiwelu. Mahojiano ni marefu, nimevutiwa sana uongozi wake katika vita dhidi ya Idd Amin na ukuu wa mkoa baada ya vita. Baada ya vita anasema “..unajua watu walikwishaonja kutoa roho za watu. Huwezi kucheza nao hivi hivi, ikabidi tupangane upya.” Akasema (Nyerere) “sasa wewe bwana umemaliza kazi hii nakushukuru…sasa ninataka kukupa kazi nyingine…nikamwambia sawa, nipo tayari kwa kazi yoyote, akaniambia utakwenda kuwa mkuu wa mkoa wa Tanga. Nikamwambia naenda lakini hii kazi sijawahi kufanya sasa ukiona nafanya vibaya uniite, na mimi nikiona kuna tatizo nitakuja”.

Kiwelu Tanga

Akiwa Tanga kama mkuu wa mkoa Jenarali Kiwelu anasema changamoto kubwa kabisa ilikuwa uvivu wa wananchi wa Tanga. “Waswahili wangu wa Tanga ni wavivu, hawakuwa na maendeleo. Sasa walikuwa wanakaa pale kwenye nyumba zao za nyasi mjini, nikawaambia sikilizeni, hatuwezi kuishi hivi..mtu lazima afanye kazi na mjiwekee kipato na mtengeneze nyumba. Wakauliza tutatengenezaje na hatuna mashamba kwa ajili ya kutupatia kipato?” Jenerali Kiwelu akawatafutia mashamba huko Muheza. Akawatafutia mabasi yakawa yanawachukua mjini kwenda shamba na kuwarejesha. Pia akaamuru wapimiwe viwanja vyao ila nyumba zao za nyasi zisibomolewe bali wajenge za matofali kuzunguka zile za nyasi, wakifikia kupaua ndo wabomoe. Kwa hiyo kupitia mkakati huu nyumba za nyasi Tanga mjini na mpango holela ziliondoka na watoto wakasomeshwa kupitia kilimo.

Kiwelu Rukwa

Baada ya kuongoza Tanga kwa miaka mitatu alihamishiwa Rukwa. Huko wananchi wake walikuwa wachapakazi ila walikuwa wakichapa kazi bila utaratibu. Jenerali akaazimia Rukwa walime kwa ajili ya kujipatia kipato badala ya chakula tu. Anasema wakati huo Mbeya, Iringa na Ruvuma ndo ilikuwa ikiongoza kwa uzalishaji wa chakula (the big three), akaazimia mkoa wake uwe wa nne. Ilibidi kuanzisha darasa la wakulima, ambapo wakulima walifundishwa ukulima wa kisasa, kisha akaomba fedha kwa ajili ya mbegu ambapo mbegu walizonunua Kenya hazikutosheleza hivyo akaanzisha shamba la mbegu eneo la Mlundika hivyo upatikanaji a mbegu ukawa endelevu. Ili kutatua changamoto ya pembejeo, walinunua plau kutoka Zimbabwe. Mwaka wa tatu mazao yakawa mengi. “…nia yangu pale ilikuwa kupata mazao mengi ili kushindana na mikoa mingine ya kilimo, na ikibidi hata kuwazidi lakini kwa manufaa ya watu wangu hasa katika kuongeza kipato chao maradufu au zaidi.”

Baada ya hapo alienda Kagera lakini nimependa “legacy” yake katika mikoa aliyopitia. Kumbe umaarufu wa Rukwa katika uzalishaji wa chakula haukutokea hewani. Nimeona kuwa ni kiongozi aliyekuwa mwadilifu, mwenye maono (vision), uthubutu, amri na ushawishi. Pia nimependa pale alipoteuliwa na kusema hakuwahi kufanya kazi ile ila akifanya vibaya aitwe, akishindwa ataomba msaada. Nimeona kuna haja ya kiongozi wa nchi kuelewa huu ukweli kuwa kiongozi anaweza kuwa mzuri sana ila kwa kukosa uzoefu katika eneo husika akachemsha baadhi ya mambo, hivyo kustahili nafasi ya pili na kuelekezwa. Natamani kupata maoni ya “Waswahili wa Tanga” wa enzi za Kiwelu watupe uzoefu wao wakati wanapanda mabasi kupelekwa shamba, mpaka mazao yalipoiva, wakauza na kuweza kujenga na kusomesha watoto. Je, ilikuwa rahisi, hawakunung’unika na wengine hawakukimbia? Mambo ya hiki bure kile bure tuache, tuwezeshe wananchi kugharamia maendeleo yao wenyewe. Waliaji, walalamikaji na wanung’unikaji hawatakosekana lakini kwa weledi, maono na nia ya dhati ya viongozi wetu tutafika.
Wangekuwa viongoz wetu wa sasa wana huo moyo Tz ingekuwa mbali zaid sema hawa wa sasa wametanguliza tamaa mbele
 
Jeshi letu limetukuka sana kwa harakati za ukombozi kusini mwa Afrika na kumng'oa nduli Iddi Amini Dada lakini katikati hapa limeingiziwa kitu kibaya na wanasiasa na kuonekana ni sehemu ya ufisadi mfano no madudu kama ya Meremeta na Deep g
 
Bahati nzuri akiwa mkuu wa mkoa wa Rukwa ..nilishuhudia akimtandika viboko mwalimu wetu wa zamu wiki hiyo mbele yetu wanafunzi...baada ya kumkuta amelewa na apepesuka ..daah ..mzee yule hakuwa na utani hata kidogo
Ni mzee mtata sana ila mwelewA Sana baada ya kustaafu ukuu wa mkoa kagera alianza lima miwa na kukiuzia kiwanda cha sukari kagera

Anafahamika kagera hizo fimbo waalim wengi wavivu wamezichezea sana huko kagera
 
Mtu
Nimesoma mahojiano baina ya raia mwema na Jenerali mstaafu Tumainieli Kiwelu. Mahojiano ni marefu, nimevutiwa sana uongozi wake katika vita dhidi ya Idd Amin na ukuu wa mkoa baada ya vita. Baada ya vita anasema “..unajua watu walikwishaonja kutoa roho za watu. Huwezi kucheza nao hivi hivi, ikabidi tupangane upya.” Akasema (Nyerere) “sasa wewe bwana umemaliza kazi hii nakushukuru…sasa ninataka kukupa kazi nyingine…nikamwambia sawa, nipo tayari kwa kazi yoyote, akaniambia utakwenda kuwa mkuu wa mkoa wa Tanga. Nikamwambia naenda lakini hii kazi sijawahi kufanya sasa ukiona nafanya vibaya uniite, na mimi nikiona kuna tatizo nitakuja”.

Kiwelu Tanga

Akiwa Tanga kama mkuu wa mkoa Jenarali Kiwelu anasema changamoto kubwa kabisa ilikuwa uvivu wa wananchi wa Tanga. “Waswahili wangu wa Tanga ni wavivu, hawakuwa na maendeleo. Sasa walikuwa wanakaa pale kwenye nyumba zao za nyasi mjini, nikawaambia sikilizeni, hatuwezi kuishi hivi..mtu lazima afanye kazi na mjiwekee kipato na mtengeneze nyumba. Wakauliza tutatengenezaje na hatuna mashamba kwa ajili ya kutupatia kipato?” Jenerali Kiwelu akawatafutia mashamba huko Muheza. Akawatafutia mabasi yakawa yanawachukua mjini kwenda shamba na kuwarejesha. Pia akaamuru wapimiwe viwanja vyao ila nyumba zao za nyasi zisibomolewe bali wajenge za matofali kuzunguka zile za nyasi, wakifikia kupaua ndo wabomoe. Kwa hiyo kupitia mkakati huu nyumba za nyasi Tanga mjini na mpango holela ziliondoka na watoto wakasomeshwa kupitia kilimo.

Kiwelu Rukwa

Baada ya kuongoza Tanga kwa miaka mitatu alihamishiwa Rukwa. Huko wananchi wake walikuwa wachapakazi ila walikuwa wakichapa kazi bila utaratibu. Jenerali akaazimia Rukwa walime kwa ajili ya kujipatia kipato badala ya chakula tu. Anasema wakati huo Mbeya, Iringa na Ruvuma ndo ilikuwa ikiongoza kwa uzalishaji wa chakula (the big three), akaazimia mkoa wake uwe wa nne. Ilibidi kuanzisha darasa la wakulima, ambapo wakulima walifundishwa ukulima wa kisasa, kisha akaomba fedha kwa ajili ya mbegu ambapo mbegu walizonunua Kenya hazikutosheleza hivyo akaanzisha shamba la mbegu eneo la Mlundika hivyo upatikanaji a mbegu ukawa endelevu. Ili kutatua changamoto ya pembejeo, walinunua plau kutoka Zimbabwe. Mwaka wa tatu mazao yakawa mengi. “…nia yangu pale ilikuwa kupata mazao mengi ili kushindana na mikoa mingine ya kilimo, na ikibidi hata kuwazidi lakini kwa manufaa ya watu wangu hasa katika kuongeza kipato chao maradufu au zaidi.”

Baada ya hapo alienda Kagera lakini nimependa “legacy” yake katika mikoa aliyopitia. Kumbe umaarufu wa Rukwa katika uzalishaji wa chakula haukutokea hewani. Nimeona kuwa ni kiongozi aliyekuwa mwadilifu, mwenye maono (vision), uthubutu, amri na ushawishi. Pia nimependa pale alipoteuliwa na kusema hakuwahi kufanya kazi ile ila akifanya vibaya aitwe, akishindwa ataomba msaada. Nimeona kuna haja ya kiongozi wa nchi kuelewa huu ukweli kuwa kiongozi anaweza kuwa mzuri sana ila kwa kukosa uzoefu katika eneo husika akachemsha baadhi ya mambo, hivyo kustahili nafasi ya pili na kuelekezwa. Natamani kupata maoni ya “Waswahili wa Tanga” wa enzi za Kiwelu watupe uzoefu wao wakati wanapanda mabasi kupelekwa shamba, mpaka mazao yalipoiva, wakauza na kuweza kujenga na kusomesha watoto. Je, ilikuwa rahisi, hawakunung’unika na wengine hawakukimbia? Mambo ya hiki bure kile bure tuache, tuwezeshe wananchi kugharamia maendeleo yao wenyewe. Waliaji, walalamikaji na wanung’unikaji hawatakosekana lakini kwa weledi, maono na nia ya dhati ya viongozi wetu tutafika.
Huyu mzee ndio anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kama alivyofanya Uhuru Kenyatta alipomteua waziri wa usalama ambaye pia mwanajeshi mstaafu akiwa na cheo cha General.
 
Ville vile pia ni aibu kama tunashindwa kutengeneza vijana wenye uzalendo watakao simamia Taifa lao, na kubaki kila siku kulilia wazee ambao wameshamaliza muda wao, Tunachotakiwa ni kutambua michango yao na kusonga mbele kuijenga nchi.
 
W

old is gold
 
Wewe una akili sana ndugu. Watu kila siku wanaomboleza kuondoka kwa wastaafu badala ya kujadili njia bora za kujenga kizazi kipya cha viongozi wa baadaye. Kiongozi bora ni yule anayeach hazina ya viongozi bora wa baadaye baada ya yeye kuwa ameondoka.
 
Hakika Gen. Kiwelu ni miongoni mwa wazalendo wetu, ni hazina na mfano wa kuigwa kwa vijana wazalendo wa Tanzania.
 
MMEMSAHAU 'WALDEN' A.K.A BLACK MAMBA ALIYEONGOZA KIKOSI CHAKE KUVUKA KWENYE MAJI YALIYOJAA MAMBA KWA MUDA WA SIKU TATU NA KUISAMBARATISHA KABISA NGOME YA IDDI AMINI. JESHI LA IDDI AMINI LILIKIRI WAZI KUWA black mamba ndiye aliyemaliza vita ya UGANDA, na inasemekana alifanikiwa kuingia katika makazi ya IDDI AMINI huko kampala

R.I.P WALDEN 'black mamba'
 
Ni mzee mtata sana ila mwelewA Sana baada ya kustaafu ukuu wa mkoa kagera alianza lima miwa na kukiuzia kiwanda cha sukari kagera

Anafahamika kagera hizo fimbo waalim wengi wavivu wamezichezea sana huko kagera

Kagera alishaondoka kaitambo walikuja kumfuata watoto wake wakamrudisha Dar
 
Nimejifunza uzalendo uliotukuka kutoka kwa mzee jemedari wa vita kiwelu ningepata nafasi ya kushauri mkuu mi naamini sana kwenye kilimo na mzee kama bado ananguvu ningeshauri wamtumie.hama kuamasisha kilimo au kuwa waziri maana ni mbunifu kuanzia kuagiza mbegu na kuzalisha mbegu bora kwa miaka mitatu tuweke kipaumbele kwenye kilimo tutakua kiuchumi maana asilimia kubwa ya watanzania bado ni wakulima ila bado hatufanya jitihada za kujikomboa kiuchumi kwa

Mazao ya chakula kuna soko kubwa kwa nchi jirani kuliko mazao tunaotegemea kuuza nje wanatupangia bei halafu wao wanauza kwa faida kubwa huko now

Ukitaka kanunue kahawa au korosho au chocolate (kokoa yetu) yetu kwenye supermarket za ulaya na marekani utajua tunaibiwa mno wao wanapata super profits kwa uzembe wetu wa kuuza unprocessed products
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom