Jen Ulimwengu: Dilemma ya viongozi wa Afrika kuhusu Gaddafi



Another masterpiece from Jenerali. Anachosema ni kweli kabisa kuhusu unafiki wa viongozi wa Afrika. Wengi wao wanaogopa kumsaidia Gaddafi kwa sababu wanaogopa kushughulikiwa na nchi za Magharibi. Mmoja wao ni huyu Mkuu wetu hapa. Angalau Museveni alitamka kitu -- alitoa ubaya na uzuri wa Gaddafi na pia kutoa onyo kwa nchi za Magharibi kuhusu undumila kuwili wao.

Kiongozi jasiri wa Afrika lazima asimame awe counted -- siyo kukaa kimya na kusubiri mwelekeo wa upepo. Mkuu wet atamke kuhusu Gaddafi -- negatively or positively. Ilimchukuwa miezi mitatu kutoa tamko la kumtambua rasmi Ouattara.

hapo umenena, we african have exosted leader. Shame to them and hypocritic behavior fails. I wish ingekuwa kikombe cha babu kinabebeka, ningempeldkea kila kiongozi
 
Back
Top Bottom