Jemedari Jairo David-Hongera sana

peacebm

Member
Jan 31, 2010
57
9
Kwa mtazamo wangu, napenda kumshukuru na

kumpongeza Jemedar Jairo D. kwa msaada wa

kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa

kuzichangisha idara zake za wizara za nishati

na madini kupitia gamba jepesi Ngeleja, kwa

mahesabu ya haraka ni kwamba tukitumia

the so called JAIRO FORMULAE

2DAYS =EANRS 1BILION COLLECTED BY 1 MINISTRY

then 40 ministries=will collect 40billions

kwa mahesabu ya haraka tukiziambia hizi wizara

zikusanye pesa WITH 3 SEMESTERS PER ANNUM

then kwa kila mwaka hizi pesa tutaziweka kwenye

project ya kuchimba bwawa kubwa la kuzalisha

umeme nadhani kwa miaka mitano hili bwawa

litakuwa limekamilika na tatizo la umeme

litakuwa limekwisha, naomba Gamba kuu atumie fomula hii kuiokoa nchi kwenye gza

naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom