Jemba ILIYOMBAKA MISS TANZANIA YAPANDISHWA KIZIMBANI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,800
Jamaa anayetuhumiwa kumbaka Miss Tanzania, ambaye ni mwanamitindo Patrick Trey, hatimaye amepandishwa mahakamani mchana huu na kusomewa mashitaka yake ya ubakaji katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu. Akiingia mahakamani hapo mapema leo, Trey alivaa kitambaa mdomoni na puani ili kuficha sura yake. Awali alionekana akipewa kibarua cha kumwagia maji ili kusafisha choo cha mahabusu mahakamani hapo. kesi imeahirishwa na mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana...mkanda ufuatao, unaonesha picha ilivyokuwa:


..Michael Jackson style


...kichwa chini


..mawazo kibao


...chini ya ulinzi


...akifanya usafi wa choo
 
Huyo kijana ni rijali na aliamua kuonyesha urijali wake.
Wanamitindo na mamiss wanafanana, naona binti alidhani kuwa njemba ni binti mwenzake na kwa hasira ndipo njemba ikampa kiperega
 
Aliyebakwa ni Miss gani huyo na ni lini na ilikuwaje? Unaweza kukuta walikubaliana lakini baadaye wakazinguana na mtu kutpiwa kesi si unajua mabo ya mahakama hata asiye na kosa anaweza kwenda jela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom