Jejee Lutandila unatafutwa!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Nimesikiliza huu wimbo kwa makini ulioimbwa na kundi la Tancut Almas..kweli zamani nyimbo zilikuwa na mafundisho!

mama analalamika ni miaka 12 sasa hajamuona mtoto wake amekuwa ombaomba huko kijijini kama hana watoto!
 
Barua yangu kama umeipata Jejee fanya haraka rudi nyumbani jejee,.......
Baba yako amekwisha kufa hata habari huna, hata huruma huna, Jejee sikutegemea
ahivyo ewalal Jejee Lutadila....
Unasikitisha sana huu wimbo.

Mwingine unaofana na huu ni ule wa "Watoto wamekuja juu, wanadai nyumba yao" ulipigwa na Washirika
"Ningali bado najiuliza usiku na mchana na mme wangu kanitoka upweke umenizunguka, watoto wamekuja juu, wanadai nyumba yao......
...........................
Majirani wameshauri eti niache kazi wakati nyumba ni mali yao, jamani nifanye nini. Wengine wameshauri eti nirudi nyumbani, sina baba wala mama huko niende kwa nani?"

Huu hapa lakini sina uhakika kama ndiyo wenyewe; mapigo siyo yale ambayo nayajua mwenyewe
 
Original ulikuwa na maneno "mimi mama yako sina Khanga wala shuka, chakula changu kweli ni shida..."
Kwenye huo hapo juu hayo maneno hayo hayapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom