Jei kei atapewa barua lini?

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wana JF, nimesikia kuwa kuna wanachama wa CCM wametakiwa wajiondoe katika chama chao ikiwa ni moja ya hatua ya chama chao kujisafisha, mimi kwa mtizamo wangu nauliza ni lini mwenyekiti wao Dr,Dr,Dr, Alhaji, captain Jakaya Mrisho Kikwete atapewa barua ya kujiondoa au kuondoka ndani ya CCM ili chama kijisafishe kwa kuwa yeye ametajwa katika scandal nyingi za kifisadi. Kwa kumbukumbu zangu ni kuwa ametajwa katika meremeta, na IPTL. Nawasilisha.
 
Mkuu naomba nikufahamishe tu kuwa ile ilikuwa ni danganya toto na kamwe haiwezekani maana jk mwenyewe pale kakaa kama representing figure ya mwenyekiti ila wenye chama ni watatu na hathubutu kuwagusa.
 
mapacha watatu ndio wenye ccm yao..jeikey anaelekezwa afanye nini ndo mana hata kipindi cha kampeni aliamriwa awasafishe na kila alipopita kwenye majimbo yao aliwanadi kwa wananchi kuwa ni wasafi upo hapo mkuu!
 
Hii imekaa sawa! hata yule aliyetajwa kuwa ni Vuvuzela umemsikia tena anabwabwaja kuhusu mapacha? thubutu yake!!!
 
Back
Top Bottom