Jei Efu Bana..

Tena biashara ya ndizi mwaka huu iko juu sana aisee lazma kakumalize mazima TANMO

HakyaMungu tena kila anayechangia humu ni lazima amtaje Huyu Bepari, inabidi niage kabisa kabla hajafika...
Hivi inawezekana kutembea kutoka Mabwepande mpaka Oldonyo? Jasti in kesi Aisee....
 
Haya majina haya, ndiyo hasa nayazungumzia..
Duh nawewe naweee lol huna subira kuficha?
Sawa bhana ngoja nizingoje nyumba ndogo zangu Remmy cacico BADILI TABIA Yummy waje waniambie kama wanakubaliana na kauli zako
Pia nawaita Asprin mkaguzi mkuu,Kaka Kaizer platozoom dogo langu la ukweli, Mr Rocky (Aliyempa mimba Yummy) na dada kipenzi gfsonwin
Sitawasahau Kipipi (Miss you sana mpenzi), Catherine (Love u more ma dia), CUTE (Come here love) Amyner (Always In ma heart)....na mgeni mwenyeji wetu AmKATRINA
Kwa pamoja nawaomba mje msikilize kashfa za huyu dogo TANMO kwa Bishanga na kwa ujumla
 
Last edited by a moderator:
HakyaMungu tena kila anayechangia humu ni lazima amtaje Huyu Bepari, inabidi niage kabisa kabla hajafika...
Hivi inawezekana kutembea kutoka Mabwepande mpaka Oldonyo? Jasti in kesi Aisee....
Yule ndio mdhamini wa Show zote Chit Chat kaka hujui kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom