KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Hayo unayosema kiranga yalishasemwa tangu zamani. Tutakusadiki tu ikiwa wewe ni mtoto mchanga. Tutajie umri wako kwanza.
Matthew 11:25-26 Ninakushukuru Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, na ukawafunulia watoto wachanga. ...
Mat 11-15
11Nawaambieni kweli kwamba kati ya watu wote waliozaliwa na wanawake, hajatokea mtu aliye mkuu zaidi ya Yohana Mbatizaji. Lakini hata hivyo aliye mdogo kabisa katika Ufalme wa mbinguni, ni mkuu kuliko Yohana. 12Tangu siku za Yohana Mbatizaji hadi sasa, Ufalme wa Mungu umekuwa ukishambuliwa vikali; na watu wenye jeuri wanajaribu kuuteka kwa nguvu. 13Kwa maana manabii wote na sheria walita biri mpaka wakati wa Yohana. 14Na kama mko tayari kusadiki uta biri wao, basi Yohana ndiye Eliya ambaye kuja kwake kulitabiriwa. 15Mwenye nia ya kusikia na asikie.