Jeetu Patel ashinda zabuni ya matrekta!

ituganhila

Member
Aug 25, 2009
24
0
Nimesoma habari kuwa Jeetu Patel ameshinda zabuni ya kuleta matrekta yenye thamani ya bilioni 50 toka ambayo ni mkopo wa serikali ya India kwa Tanzania. Mkopo usio na riba. Sikuelewa hapo inamaana ni Jeetu Patel yule aliye kwenye kesi ya EPA au mwingine?? TUTAFIKA katika mapambano ya makali haya ya kuwabana watu walionatuhuma za kukwapua mablioni ya TZ!! Je si vema kususa hata biashara nao?? :confused:
 
huyo huyo unashangaa nini ..jamaa ni strategist sana hata hayo ya EPA atashinda tu ...mi ndio maana nimejiamulia kukaa kimya juu ya mambo ya sarakasi za hii nchi
 
Mwache ayalete huenda tutafaidika nayo katika kilimo chetu duni.....
 
huyo huyo unashangaa nini ..jamaa ni strategist sana hata hayo ya EPA atashinda tu ...mi ndio maana nimejiamulia kukaa kimya juu ya mambo ya sarakasi za hii nchi

Kuna jamaa alikuwa Keko na Jeetu Patel wakati wa sakata la EPA anasema yule mzee anaujua udhaifu wa serikali yetu vizuri sana. Alimwambia hivi " Fulani (jina silitaji) nataka nitoke Keko nichukue pesa zingine. Zipo nyingi na wakubwa serikalini wananibembeleza nizichukue". Wajinga ndio waliwao.
 
Hamna kitu serikalini, tatizo wanatumia kichwa kidogo kuwaza huku wakikiacha kichwa kikubwa kikipunga upepo. wenyewe ndo wezi ila wanawatumia watu kama jeetu na rostam kuhalalisha uhuni wao.

Wasanii wote kwanzia braza wao mpaka mwenyekiti wa kijiji, Hope less!
 
Kuna jamaa alikuwa Keko na Jeetu Patel wakati wa sakata la EPA anasema yule mzee anaujua udhaifu wa serikali yetu vizuri sana. Alimwambia hivi " Fulani (jina silitaji) nataka nitoke Keko nichukue pesa zingine. Zipo nyingi na wakubwa serikalini wananibembeleza nizichukue". Wajinga ndio waliwao.

mkuu huu ni ukweli mtupu yaani huyu jamaa ni hatari..mwache alete matrekta
 
duh ndo kuema hata uchaguzi mkuu hauna shaka kwao?kwani wananchi wakiinasa si soo?au ndo vile wananchi 70%hata hawajui Jeetu Patel ni nani?well kuna vigogo wanalipa fadhila kwa alichowafanyia so no end of it, hakuna cha kesi ya epa wala mdogo wake,watuhumiwa tupo nao wanapiga mingo kama kawaida
 
Huyu jamaa ni mtuhumiwa na si-muhalifu, Tanzania ni inchi inayofuata sheria...innocent til proven guilt.
 
Wakuu kuna mwenye link au ni gazeti gani hiyo habari ya Jeetu kushinda zabuni imetoka???
 
Huyu jamaa ni mtuhumiwa na si-muhalifu, Tanzania ni inchi inayofuata sheria...innocent til proven guilt.

Pamoja na huo ukweli, lakini kwa waungwana inatia shaka sana unapofanya biashara na mtuhumiwa tena wa kiwango cha kuitia hasara nchi kama wa Jeetu Patel. Hakukuwa na mtu mwingine yeyote mwenye track record nzuri kuliko yeye. kwa serikali yetu na jinsi inavyoendesha mambo hakuna tena cha kushangaza, lakini hapa inaonyesha wazi kuwa nchi inaendeshwa shaghalabaghala tu!!
 
Mwacheni Jeetu. Saw him in bongo a few months ago. Amejishusha atembei na Range yake specila edition anatumia VX ile yazamani model ya 1994 lakini MPYAAAAAAA! It was too funny aisee. THe guy is a strategist.
 
Huyu jamaa ni mtuhumiwa na si-muhalifu, Tanzania ni inchi inayofuata sheria...innocent til proven guilt.
wewe ukiwa mfanyakazi, ukasimamishwa kazi utaruhusiwa kusafiri kikazi sababu wew ni mtuhumiwa? au utaruhusiwa kwenda training? si mwajiri wako atachukua tahadhari ya uamuzi kuwa chanya au hasi?
 
Wacha tungojee matamko ya kukanusha nk . Maana ndiyi ngoma wachezayo hawa
 
Tumelogwa

Nakumbuka makala moja kwenye mwanahalisi ya leo, inayolalamikia watu wa dar walivyobobea kwenye ufisadi na kuufanya kama ni part and parcel ya maisha yao kiasi cha kuwachagua CCM next week

hawa hawa wanaompa Jeetu tenda za kuleta matrector watashinda tena kwa kishindo na kurudi madarakani kwani rushwa na ufisadi ni mojawapo ya taratibu za maisha yetu
 
Nimesoma habari kuwa Jeetu Patel ameshinda zabuni ya kuleta matrekta yenye thamani ya bilioni 50 toka ambayo ni mkopo wa serikali ya India kwa Tanzania. Mkopo usio na riba. Sikuelewa hapo inamaana ni Jeetu Patel yule aliye kwenye kesi ya EPA au mwingine?? TUTAFIKA katika mapambano ya makali haya ya kuwabana watu walionatuhuma za kukwapua mablioni ya TZ!! Je si vema kususa hata biashara nao?? :confused:

Wamuache ayalete hayo matrekta, na hiyo ndiyo itakuwa fidia kwa pesa zetu alizoiba.
 
natamani kuvunya skrini ya comp yangu aaaghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhggggggggggrrrrrrrrrrhhhhh!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi hakuna wajasiriamali ambao wanaweza kuwekez ana kuagizaaa hayo ma trekta????????huyu hajamalizana na kesi yake leo anapewa tender kubwa namna hiyo tz hii hakua nchi ingine bla bla kama hii
 
kama ushahidi upo jamani uwekwe hadharani ili tuweze kuonyesha udhaifu wa hii serikali ya JK, huyu bwana hata kama ni mtuhumiwa sio mharifu lakini tayari anadosari za uaminifu wake, na kumbuka katika procurements acts, yeye katika situation yake haluhusiwi kushinda tender yoyote...kama nimeelewa vizuri...najua mnojua sheria hizi mpo mnaweza kufafanua vizuri....
 
Back
Top Bottom