Jeeeee, wakiristo wa Tanganyika watakubali Mkiristo wa Kutoka Zanzibar Kugombea urais 2015??

Status
Not open for further replies.
Kwa nini tunapenda kukataa kwamba tz haina udini?udini upo tena umekomaa kabisa na walioukomaisha ni ccm wenyewe. Utajengaje msikiti uwanja wa ndege ama kuweka kibla kwenye ofisi za serikali kama haina chama? wakati wa AHM na wakati wa JK umetumika kama wakati wa kuingiza dini kwenye siasa alafu wanaanza wao kusema kuna udini. Wakristo nao wameamka sasa sio kueneza udini kwenye siasa bali kukataa upuuzi wanaambiwa wana udini. Sasa hivi wakristo wanatukaniwa dini yao hadharani tena kwenye vipaza sauti na sijawahi sikia kuna mtu kashiktakiwa kwa kukashfu dini nyingine, redio imani imekuwa kero badala ya kujadili uislamu inakashfu ukristo wazi wazi, huu ni udini mbaya sana, ccm mmegawa taifa letu kidini. Waislamu nchini ni % 19 na wakristo ni zaidi ya % 45 angalia mlinganyo wa madaraka serikalini utashangaa sana. Vyeo nyeti vyote JK kawapa waislamu. Hii ni kuendekeza udini. Wakati wa BWM yeye alifanya kinyume akawainua waislamu juu ili kukwepa udini, JK yeye anaonyesha wazi alivyo m-dini. Haya. Yatawashinda
 
Usifikirie nchi yetu kuongozwa na raia wa nchi nyingine.Zanzibar ni nchi inayojitegemea hatuwahitaji ktk urais wa tanganyika=tanzania.Pia ni mawazo finyu kuwafikiria wanamagamba kuiongoza nchi hii wameshapotea.CDM ndo chama cha kushika usukani,mafisadi watakimbia kama enzi za mwl
 
Toa ushahidi kwamba udini umeletwa awamu ya kwanza. Hakukuwa na udini awamu ya kwanza wala tz hakuna aliyemjua mtu kwa dini yake, sote tulikuwa ndugu tofauti na ilivyo sasa. Kama nyerere alikuwa mdini mbona alitaifisha shule na vyuo vya wakristo na kuzifanya kuwa mali za umma hivyo wailsamu nao kusoma?
 
Are u kidding? Mi sioni tabu yeyote kutuongoza,bora afuate sera tu. Ninachofahamu mimi nchi hii haina dini.
 
Nijuacho mimi udini umeanza kipindi hiki cha ******,hata kipindi cha mzee ruksa udini haukuwepo,unakumbuka mwembechai? Ruksa alizama kabisa hyo tabia,may God bless Tz
 
Hivi DINI inaingiaje kwenye uongozi? Wanaotumia UDINI kuongoza Ujue Gorofani hakuna kitu... Huyo ni wa kuogopa kama UKOMA.
 
1. Jamani huyu Jamaa aliyeweka hii Article anaweza kutupa angalau Jina Moja la Mkristo aliye kwenye madaraka Zanzibar anayefaa kugombea Urais?
Sababu tusiwe tunaongelea article ambayo haina hata manthari yake as hakuna huyo mtu anayefaa.
2. Angalia badala ya kuongelea huyo Mkristo tunaongelea Mahakama ya Kadhi; Sasa hiihusu hii Article. Mhahakama ya kadhi ilivyunjwa miaka 50 iliyopita, hivi watu toka miaka hiyo watu walikuwa hawapati matokeo halali kwenye kesi zao? Tusaidieni sisi jamani

Kuliko kulalamika na kuweka CHUKI CHUKI CHUKI
 
ni wale wa ccm.

inajulikana kuwa kwa sasa kuna kila harakati ndani ya chama kinachojiita tawala watu kujipanga kuwa wapangaji wa magogoni-feri. Wengi wao wanaamini anguko la mzee wa monduli ni sawa na anguko la tanganyika. Hakuna tena mkiristo kama lowasa anayeweza kugombea urais kwa chama cha magamba. Membe inasemekana amefoji jina...ni msilamu. Sita alishazimwa na mafia, kawekwa kwenye kikombe kama dawa ya loliondo. Hana chake. Wengine kama kina makongolo kazi yao kujenga baa tu. Mawe matatu hajulikani. Asha-rose jina lake lina utata. Ni kama bajaji...si gari, si pikipiki. Magufuli kama jina lake tu. Akili yake na pombe sawasawa. Anapenda masifa. Nani anaweza kugombea kwa tikiti ya ccm? Viongozi wa dini za kikiristo wanatishwa. Mfano wanasingiziwa wanauza unga. Wengine wametolewa waranti ya kutiwa korokoroni popote watakapoonekana.

Lakini kushoto kulia ukicheki kwa makini utagundua siri. Mfano mambi ya kambi ya jeshi na mauwaji ya gomngo la mboto na huseni mwinyi kugoma kujiuzulu wala kuomba radhi kwa sababu anajiandaa kufuata nyayo za baba yake. Mkuu wa jeshi la polisi ni shehe. Waziri wa polisi ni shehe. Kamanda wa polisi mkoa ilipo ikulu ni shehe. Raisi ni ustaadhi. Bakwata ni shina la ccm. Nyerere kafa. Lowasa kafunikwa. Looo!



Ngoja nisogese laptop.

Sasa hapa fikiria. Kama wakiristo wanataka rais ajaye asiwe shehe maana yake mpaka sasa miaka 4 kabla ya uchaguzi, hawajui nani atagombea kupitia magamba. Hawajui na wanatishwa kila leo. Ngoja kwanza. Zanzibar 99% ni mashehe. Na tumesikia jinsi wakiristo waishio visiwa va unguja na pemba wanavochomewa makanisa yao. Hawana pa kuabudia. Hatari.

Sasa kama tunataka mgombea urais wa ccm awe mkiristo, basi atoke zenji. Lakini zenji patachimbika. Maana wazenji hawataki kusikia kitu kinachoitwa ukiristo. Lakini watu wanajipanga kuhakikisha raisi ajaye anatoka zenji. Moja wapo jk mwenyewe. Wanapanga misikitini mkakati huu.

Halahala.

Mwisho wa yote mradi wao utatekelezwa.

Tanzania kujiunga na oic na kadhi. Mabomu kama somalia na nijeria.

Kwa herini.

Mtasema mi mwehu. [poa. Mimi mwehu. Kwani nani asiyejua watznaznia hawapendi kuambiwa ukweli!

Ama nitapigwa ban.

messeji sent.

meseji yako yote imejaa unafiki, na hilo umeligundua hata wewe mwenyewe na ndio maana ukaanza kujidefend,hata hivyo ina ujumbe mmoja muhimu sana, kwani wazo kuu hapo ni kwamba umeelezea uhakika wa ccm kutoa rais mwaka 2015. Awe mkristo wa pemba, unguja au hata mkristo "feki" (membe) suala hapo ni ccm kutwaa kiti. Rai yangu siku zote nawaambia subirini,miaka 100 si mingi.
 
amin usiamini bernad membe ni mtoto wa mrisho kikwete bac yake Jk,mama tofauti hzo ndio habari za kiinteligensia zinatonya
 
meseji yako yote imejaa unafiki, na hilo umeligundua hata wewe mwenyewe na ndio maana ukaanza kujidefend,hata hivyo ina ujumbe mmoja muhimu sana, kwani wazo kuu hapo ni kwamba umeelezea uhakika wa ccm kutoa rais mwaka 2015. Awe mkristo wa pemba, unguja au hata mkristo "feki" (membe) suala hapo ni ccm kutwaa kiti. Rai yangu siku zote nawaambia subirini,miaka 100 si mingi.


heri mk**du utoe rais 2015
 
jAMANI HAYA MAMBO YA DINI HAYANA MAANA. KINACHOTAKIWA NI KICHWA BORA CHA MTU WA KUTUONGOZA SAFARI YETU YA KULA MILO MITATU BILA YA SHIDA. TUNA WINGI WA WAVUVI, WAUZA SOKONI, NA WAKULIMA DUNI. SASA TUOMBE RAISI AJAYE AWE NA UWEZO WA KUPUNGUZA IDADI YA MAKUNDI HAYA YA KIMASIKINI .misri kutokana na kiburi cha dini walikataa katakata kumpatia uraisi Butros Butrous Ghali kwa sababu ya ukristo wake. haya yasije hapa tanzania.
 
Kwani kuna wakristo huko Zenj kama wapo kati yao yupo yeyote aidha CCM au CUF mwenye kawadhifa hata kausheha?Katiba yao inawaruhusu kuchagua na kuchaguliwa kama viongozi wa kisiasa? Mwenye kumbukumbu naomba anijuze kabla sijaanza kuchangia hoja.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom