Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Mimi naona ni vizuri kuwashirikisha wananchi wa nchi zote mbili katika kuamua kama wanataka kuungana ama la.
Lakini kabla ya kufanya hivyo kwa sababu Muungano uliopo ni batili na upo kinyume cha sheria ni vizuri kwanza kuuvunja huu muungano kisha kila nchi iwaulize wananchi wake kama wanataka muungano.
na kama watapata majibu positive basi utaundwa kwa kufuata taratibu za kisheria kwa ridhaa za wananchi wa nchi zote.
Lakini haiwezekani kabisa kuwauliza wananchi wa nchi zote mbili wakati tumeungana tena kimabavu mabavu.