Jee masuala yasio ya Muungano yanazungumzwa na Bunge gani Tanganyika?

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Wale wanao sema Tanzania ndio Tanganyika ni kweli maana sijawahi kuskia hata siku moja kuwa Watanganyika wamekaa pamoja kuzungumza masuala yasio ya Muungano au kuwatowa wabunge wa Zanzibar katika ukumbi kuwambia hivi sasa tunataka kuzungumza masuali yasio ya Muungano.

Tuseme hawana masuali yasio ya Muungano? kama hawana jee Tanzanet,Zahabu na Gus ya Songo songo niza Muungano? hapa anataka kupigwa mtu changa la macho.

Bila ya Tanganyika Muungano fake. mukianzisha harakati za kudai Tanganyika yenu Wazanzibar tutakuwa na nyiyi kuwasaidia laa kama hamuitaki tutapapatua kivyetu Wazanzibar kujitenga.

Hatuwezi kuwa wamoja bila ya kufufuliwa Tanganyika na ili kuwa na katiba yenu yenye kusimamia mambo yenu yasio ya Muungano, hivi sasa Muungano bila Tanganyika ni utata.
 
Kiasi usemacho kina mantiki waila hujaeleza kiuzuri na ufasaha wa kunyambulisha hoja yako/zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom