jee?kweli afumaniwa

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
Wana jf msada kuna uvumi kwamba mubunge afumaniwa na kamera mjengoni akiangaria picha zangono kwenyesim yakeyamkononi mwenyetalifa msada kamanikweri au uzushi nawasilisha
 
Hakuna kituo wala mkato..maneno yameungana kama mayai ya chura!!! kinakilishi chako au simu haina kitufe cha kutenganisha maneno?

Vince na wanajamllforums ninaimani jm imetusaidia kupashana habalikuelimisha nk nahilo ndolengo kubwa ra jm kunakitu naombaniwakumbushe polopaganda nyingi zakuzofisha vyamavyaupinzani sikuzanyuma nazinazoendelea kupitiyahumtandaozinawekwawazi zinazidikuwaimalishawatukisiasa mwenzenu anapoulizakitu kwenu majibuyakejeli yanaweza kuturudishanyuma hayajengi inapotokeahabaliyauzushi tetes tusifanyemuzaha
 
:lol::lol::lol::lol::lol: wheeew!
jamani mbavu zangu zauma.

jinsi wanajamvi mnavyomuuliza ndo jinsi mi sielewi kinachoandikwa kitu gani.

poleMufiyaKicheko
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:Hii thread kiboko, toka nimeanza kuisoma mpaka nimeifunga ninacheka tu, kweli hii ndio jamii!!!:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
du hii burudani. nimecheka hadi machozi yamenitoka. kumbe jammiforum pia huburudisha pamoja na shule nzito tunayopata humu? hii thread kiboko. Jamani mpeni jibu .
 
Hivi nimeingia jukwaa la utani bila kukusudia? Let's me check...
 
Wana jf msada kuna uvumi kwamba mubunge afumaniwa na kamera mjengoni akiangaria picha zangono kwenyesim yakeyamkononi mwenyetalifa msada kamanikweri au uzushi nawasilisha

mubungeganialiyefumaniwa? simuyakeanazuiliwakuangalia pichazangono? taarifasizakweri!
 
Back
Top Bottom