Jee ikiwa 9 December ni Uhuru wa Tanzania? Wa Tanganyika uko lini? Comfuse.com

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482

Ndugu zangu wa Tanganyika Musikubali kuwa mateka wa ccm kwamaslahi yao binafsi bora muwe mateka wa Tanganyika kwakwa uzalendo wa historia ya nchi yenu.

Hivi sasa Wazanzibar wanajipapatua na tecnic hizi za ccmkatika Muungano kuona kuwa Muungano ni fake na hakuna mwenye kufaidika katikamaradhi haya, ispokuwa ni ilani tu za ccm naviongozi wake kujilimbikizia mamalina kuzidi ccm kutawala.

Ukweli wa Muungano ni utata uliotiwa na ccm kwa wananchi wapande zote mbili za Muungano na upande moja wa Muungano ccm waliweza kufanikiwanipale walipo iuwa Tanganyikana Zanzibarikawashinda.

Kilicho wasababisha Zanzibar iwashinde ni kuweko kwaZanzibar yenyewe na Bunge lake(BLW) na katibayake, yote haya yalikuja kutokana na nguvu za Wzanzibar wenyewe kutokuwa tayari kuitwa Watanzania na kujikubalishakuwa Watanzania.

Wazanzibar siomajua, Watanzania ni watu wan chi gani?

Tukubali kuwa 9December ni uhuru wa Tanganyika kamawanavyo sema viongozi wetu kuwa musishangazwe na jina? Jee Bendera ipi itakayoPandishwa kesho?

Nyiyi munajifanya Bongo men lakini Wazanzibar ndio Bongomen, hawakukubali utaifa wao ufe na badae wawe Cumfuse.com

 
tunasherehekea uhuru wa nchi ambayo tunaogopa hata kuitaja ...naona hata kwenye mabango kuna wengine wanaiita 'Tanzania bara' wengine wanaiita kwa jina lake Tanganyika. Kwetu sisi tuliozaliwa miaka hii inatutesa kweli na hatuelewi hata kinachoendelea
 
Back
Top Bottom