Nimepokea taarifa ifuatayo kwenye barua pepe yangu. Licha ya kuniarifu kwamba nimepata bahati nasibu ya uingereza ya mamilioni ya pouni, lakini ili wakamilishe taratibu za kunitumia hayo mamilioni, niwapelekee zaidi ya dola 1,000 waweze kukamilisha taratibu za kunitumia mamilioni yangu.
Jee huu ni usanii gani bandugu
tazama kiambatisho
macinkus
Jee huu ni usanii gani bandugu
tazama kiambatisho
macinkus