Je yu wapi Msanii na Mrembo RAH P?

Status
Not open for further replies.
ni kweli kabisa aliolewa na mzee fulani mzungu na wakawa wanaishi marekani kama miaka mitatu iliyopita alikuja mwanza o nyakato parokiani akiwa na huyo babu na wakajitambulisha kanisani kwamba wameoana, baba yake alikuwa mwenyekiti wa parokia na pia aishamcukua mdogo wake kwenda nae huko huyo mdgo wake alimaliza loreto girls secondary school.
 
She is cute! Mwisho alikuwa anafaidi sana!

hakuwa anafaidi bali alikuwa anaosha mjini kwani kuna madem ambao unafaidi na wengine wa kuchapia bakora mtaani!huyu ni mcute na si sexy!wa kawaida sana!rangi tu hata ngarenaro na singida wapo!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom