Je, Wivu ni dalili ya mapenzi ya dhati?

Wakuu habari za mchana huu,

Leo nimekutana na huu mjadala mahali ulionifanya nilete hilo swali hapo juu.

Ni hivii, nimekutana na mtu siku za karibuni na kuanzisha urafiki wa kawaida tu. Sasa katika mazungumzo likaja swala la mapenzi na wivu. Mwenzangu anaamini kuwa na wivu sio mapenzi kwa kuwa, wivu ni dalili ya kumnyima mwenzio kupata kile roho inapenda. Kwamba, kwake yeye hata kama ikitokea akaoa, hatomnyima mke wake kutiana na mwanaume mwingine yeyote atayependa. Tena ikibidi atume na video kabisaa ili impe stimu wakati manzi ake analiwa.

Wakuu, je ni kweli wivu ni dalili ya uchoyo? Na kwamba kama unampenda mtu kwa dhati huwezi kuwa mchoyo kwake. Kule uzunguni mume/mke huwa wanapeana nafasi ikitokea mmoja wapo kamtamani mtu mwingine wanakubaliana kuonja. Tuwaeleweje hawa watu? Maana ni binadamu wenzetu.

Nawasilisha hoja kwa majadiliano.

Karibuni

!!!
 
Bila wivu hakuna upendo...wivu huleta uchungu ambao si wa maumivu kivile..ilimradi tu ukimwona na mtu mwingine kiroho hicho..naamini ni kidhihirisho cha upendo
 
Bila wivu hakuna upendo...wivu huleta uchungu ambao si wa maumivu kivile..ilimradi tu ukimwona na mtu mwingine kiroho hicho..naamini ni kidhihirisho cha upendo
Kutokana na kautafiti kangu nlikofanya mtandaoni (ukiacha humu jf), wana saikolojia wanasema wivu sio dalili nzuri hata uwe wa kiwango kidogo. Wivu ni dalili ya kutojiamini (insecurity) na kwamba, ukiachwa hushamiri na kuleta madhara makuu katika mahusiano. Je, una maoni gani kuhusu hilo?
 
Mi naamini huwezi kucontrol wivu usitokee au utokee ila namna unavyo uhandle baada ya kutokea sasa ndo watu wanatofautiana hapo..Ila hakuna mwanadamu asiyekua na wivu ndomana hata hao wazungu unaosema kwenye misamiati yao kuna neno wivu
 
Mie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..

EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.

Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...

Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.

HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..

WIVU MBAYA SANA MAZEE..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Engineer uchwara huishi vituko..hahahahaha
 
Wivu lazima jamani...khaa,laasivyo itakuwa kama kaka na dada. Mama mkwe tu anapata wivu mwanae wa kiume anapooa seuze wapendanao..
 
Kupenda kuanaanzia mtu akiwa na WIVU.Unapo-advance ndio inafuata Ndoa.Fikira ya ndoa inakuja unapotaka yule unayempenda asiwe na mtu mwingine ila wewe tu.

Kwa hiyo simply...

MAPENZI ni WIVU
Huyo anayemuacha mkewe anamegwa na mwingine wala hana mapenzi naye.Ana mapenzi ya BAR!Ambayo ukimuona bar maid uliyemmega jana anamegwa na rafiki yako,kesho nawe utakuwa huna hiyana utaomba umege!!!
 
Mie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..

EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.

Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...

Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.

HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..

WIVU MBAYA SANA MAZEE..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mhandisi
 
Si kila mwenye wivu ana mapenzi na wewe. Wengine ni defensive mechanism (kuficha maovu yake kwa kujifanya ana jali sana, ogopa sana mtu asiyetaka uwe social maana normally ni fuska yeye mwenyewe - as a man i have done that) na kuna wivu wa Guilty conscious, nafsi inasuta kwa yale mabaya anayoyafanya kuchepuka ovyo hatma yake anakuwa na shaka ya kuwa hata mwenzi wake ana tabia kama zake. So kwa hitimisho si kila wivu ni mapenzi.
Nimejifunza kitu kipya hapo..wanawake huwa tunapenda attention kumbe wakati mwingine inaweza kuwa ni wrong attention eeh..
 
Demu wangu alitembeaga na kakaangu nilipogundua tu mapenzi yakaisha palepale. Sasa hivi ananibembeleza tuoane, mimi simpendi tena
 
Back
Top Bottom