Je wewe unasumbuka kupata uwezo wakulinda vio vya gari yako???.Nione!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
559208_477675982260014_1355765890_n.jpg

Kiboko ya wakwapuaji wa side mirror !!
 
Watang'oa hadi hicho kibox (kufuri) chako peleka gari kinondoni pale mitaa ya makaburini liache kama nusu saa utapata jibu lako!
 
Hapo si TZ kama India, angali maandishi ya hilo bango la duka. Pili sasa akiendesha ataonaje?
 
Back
Top Bottom