Je wewe una tabia ya mnyama gani maapenzini?

mimi ni punda niwapo mapenzini. Ni mpole, mvumilivu na ninafanya kazi kitandani bila kujipendelea ila nampendelea mwenzanguhadi nimfikishe kileleni.
Je wewe unajitathmini vipi, na kujilinganisha na mnyama gani?
kwahiyo una kitendea kazi kama cha punda au ?? afu ni tabia mbaya kuwapiga chabo wanyama wakichakachua eboo!!!1

mimi ni punda niwapo mapenzini. Ni mpole, mvumilivu na ninafanya kazi kitandani bila kujipendelea ila nampendelea mwenzanguhadi nimfikishe kileleni.

Je wewe unajitathmini vipi, na kujilinganisha na mnyama gani?
Hii ingekuwa nzuri sana kama ingemaanisha MAPENZINI na sio kwenye kuchakachua! hata hvyo mi ni kama nyoka, namwaga sumu napotea!

Ha ha hahaaaaa......naona unaogopa kufa(nyuki malikia hufa),loh! Basi hapo kwa simba tumeendana.........! Za nyuki nitakufundisha

Aah,wacha nitoke kidogo....njoo huku mitaa weekend!

Ben ya nyuki itakula kwako aisee.
Kumbuka kuna malkia mmoja na ndie anayezaa baada ya kupandwa. Unfortunately dume yoyote atakayempanda malkia ufariki baada ya tendo :(

Mimi ni kama nguva.

Ben ya nyuki itakula kwako aisee.
Kumbuka kuna malkia mmoja na ndie anayezaa baada ya kupandwa. Unfortunately dume yoyote atakayempanda malkia ufariki baada ya tendo :(

Mimi ni kama nguva.

hii imekaa poa......huwa anafanyaje huyu.....unaweza kunimegea kasifa kake kidogo?

hii imekaa poa......huwa anafanyaje huyu.....unaweza kunimegea kasifa kake kidogo?

Hello dear Preta,

Nguva aka Mermaid, they are mysterious :)

Preta, Preta, Preta!!! chonde chonde tafadhari. Nimeku pm hujanijibu mpaka leo sasa unakimbilia kwa Ben kuulizana malovee! ina maana unataka kuniacha kwenye mataa sio?! angalia usijetia hasara kwa wana A town nitakapobomoa daraja la maji ya chai ili usipate barabara ya kuja Dar alipo huyu Ben!

Ha ha haahaaaaaa........nitamtumia Ungo! Mbona yupo Dar....niko naye hapa tumecheka sana hii comment yako!

Ben ya nyuki itakula kwako aisee.
Kumbuka kuna malkia mmoja na ndie anayezaa baada ya kupandwa. Unfortunately dume yoyote atakayempanda malkia ufariki baada ya tendo :(

Mimi ni kama nguva.

Ha hahahahhahaaa....Duh,nilidhani sifa kumbe.....!

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom