Je wewe ni msanii wa ngoma za asili au sarakasi?

Rapunzel

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,079
597
Raharaha Arts Troupe inasaka wasanii na vipaji vifuatavyo:-

1- Wasanii wa sarakasi wa aina zote
2- Wasanii wa ngoma za asili yaani wapigaji, waimbaji na wachezaji

Kwa kazi za sanaa za ndani ya Tanzania na nje ya nchi ya Tanzania

wasiliana nami kwenye namba hizi 0712144443 na 0759020751

Nakshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom