tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu wasiopenda? Hawa wanafiki ni akina nani?