je wewe mwanamke upo kwenye kundi gani

omary2222

Member
Jun 18, 2012
76
24
assalam alaykum ndugu Zangu mnaendeleaje na swaum mimi leo nilipenda kujua wanawake mpo kwenye makundi gani katika mahusiano maana kuna wengine wapo kwenye mahusiano kwa ajili ya mali baada ya mali kyuisha anasepa na mwingine yupo kwenye mahusiano kwa ajili ya kazi zake mfano mpelelezi ambaye anafanya uchunguzi baada ya kazi anaondoka sasa nataka kujua ni kwanini
 
nadhani hapo unazungumzia uhusiano wa muda mfupi, lkn kama ni wa ndoa hilo la kusepa linakuwa sio rahisi kihivyo, si unajua tena hasa upande ule ambao tunasemaga kifo tu kitatutenganisha? utaanzia wapi kusepa na inabidi kabla ya kufungamana na mtu uwe makini na uamue kwa dhati. Ila uhusiano usiokuwa na malengo ya kuoana basi hapo ndio maslahi huangaliwa zaidi.
 
assalam alaykum ndugu Zangu mnaendeleaje na swaum mimi leo nilipenda kujua wanawake mpo kwenye makundi gani katika mahusiano maana kuna wengine wapo kwenye mahusiano kwa ajili ya mali baada ya mali kyuisha anasepa na mwingine yupo kwenye mahusiano kwa ajili ya kazi zake mfano mpelelezi ambaye anafanya uchunguzi baada ya kazi anaondoka sasa nataka kujua ni kwanini
Mimi na wa kwangu tupo kimapenzi.
 
assalam alaykum ndugu
Zangu mnaendeleaje na swaum mimi leo nilipenda kujua wanawake mpo kwenye
makundi gani katika mahusiano maana kuna wengine wapo kwenye mahusiano
kwa ajili ya mali baada ya mali kyuisha anasepa na mwingine yupo kwenye
mahusiano kwa ajili ya kazi zake mfano mpelelezi ambaye anafanya
uchunguzi baada ya kazi anaondoka sasa nataka kujua ni kwanini
wapelezi tena!hapo sijaelewa
 
Me fundi cherehani wangu niko nae kimahaba, kihuba huba zaidi' cuz i knw cku hz hakuna wanaume wenye pesa, ni makapuku tu yanapiga pamba ukiloba inakula kwako. Bora HUBA
 
yaani anakuwa mpenzi wako ila kazi maalum mfano mpelelezi kwa ajili ya kukuanyia uchunguzi wa jambo fulani
 
kwenye mahusiano mwanaume inabidi ufikirie na kuona mbali zaidi siyo hapo mbele ya pua kisa utamu wa mapenzi
 
Me fundi cherehani wangu niko nae kimahaba, kihuba huba zaidi' cuz i knw cku hz hakuna wanaume wenye pesa, ni makapuku tu yanapiga pamba ukiloba inakula kwako. Bora HUBA
Tafanyaje sasa wanaamua kuwa marioo, maisha magumu nanyinyi mnataka mambo makubwa dawa ni kupiga pamba na kujitahidi kwenye game
 
Back
Top Bottom