Je wewe hulala bila ya nguo ya ndani ukiwa na mke, mume, au mpenzi wako?

Nauliza hivi sababu hapa mie najiona kama nilivyozaliwa, halafu baada ya mihangaiko yamaisha hujisikia kuwa free kama nilivyozaliwa na pia nashangaa naingia kitandani nakuta mwenza wangu naye kama vile alivyozaliwa! What a coincidence! Namuuliza kulikoni, naye ananiuliza kulikoni, mwishowe tukagundua nguo zinatubana sana sasa tumejikuta wote full kujiachia.

Hebu tupe mazoea yako maana nahisi haya manguo plus majoto dah waweza kuchacha hivihivi unajiona. Hebu sema we umetupia kivazi gani au ndiyo kama sisi? Halafu kama umeoa au kuolewa hapa ndiyo panakuhusu zaidi nyie mnaochakachua najua huwa mnajifichaficha ili makovu ya upele yasionekane na hata ukijiachia huwa unazima taa, wenzenu kwa raha zetu!

Kitumbua na ndizi wazi, kitumbua sio andazi.

Hebu tupia ma-experience ya room!

Kama Mungu anajalia hali ya amani nchini mwetu inaendelea kamwe sintovaa nguo yoyote usiku nikilala! Kwani nina wasiwasi gani hadi nilale kama niko GUARD au vitani?
 
tangu my huz C6 aondoke huwa nalala na jeans, lakini alipokuwepo tulikuwa tunalala na suti wenyewe yan twajiachia hadi raha!!!!
 
Last edited by a moderator:
tangu my huz C6 aondoke huwa nalala na jeans, lakini alipokuwepo tulikuwa tunalala na suti wenyewe yan twajiachia hadi raha!!!!

Ila Shost kulala Naked ukiwa na Mupenzi wako raha sana.
Yani unajiachia sana.

Yani me inafikia Kipindi huwa tunajikuta twaweza shinda na Pichu mpaka jioni iwapo muzee siku hyo atakuwa Off kazini kwake.
Tunakimbizanaje humo ndani,
Basi tunachezaga Kombolela Vyumbani Mimi na Shemeji yenu,
Atakayebutua tu, Ndio anakuwa na Zamu ya kupika siku hyo.
Raha sana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah shosti@Madame B umenifurahisha ,eti mwacheza kombolela....
 
Hahahahah shosti Madame B umenifurahisha ,eti mwacheza kombolela....

Shosti Ciello kupendana acha tu.
Yani Ni Full Kombolela,
unajua maeneo ya kujificha?
Kwenye Makochi, bafuni, nyuma ya Vase za maua, ndani ya makabati ya Jikoni,Halafu mpo kama mlivyozaliwa,
Mnatishaje?? Kama Wachawi.
Ha ha ha ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
Ila Shost kulala Naked ukiwa na Mupenzi wako raha sana.
Yani unajiachia sana.

Yani me inafikia Kipindi huwa tunajikuta twaweza shinda na Pichu mpaka jioni iwapo muzee siku hyo atakuwa Off kazini kwake.
Tunakimbizanaje humo ndani,
Basi tunachezaga Kombolela Vyumbani Mimi na Shemeji yenu,
Atakayebutua tu, Ndio anakuwa na Zamu ya kupika siku hyo.
Raha sana.

shostiii raaaaha
 
Mambo yalikuwa saafi,mpaka hapo mabomu ya gmboto yalipoanzisha shughuli usiku.
usinikumbushe,kiongozi wa familia unatoka na taulo,taulo yenyewe unaiona haitoshi,huku ndo unaongoza watoto wasipotee.
acha bwana usinikumbushe.
 
watu waoga! yaani toka yale mabomu jamaa anajijaladia! du! nimecheka sana!!!
 
watu waoga! yaani toka yale mabomu jamaa anajijaladia! du! nimecheka sana!!!
Usifanye mchezo na kutoka baru bila nguo,speed inaongezeka ila utakaokutana nao hawakawii kukuita mchawi,
dear siyo woga ndo ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom