Je Waziri Pinda alinena ukweli?

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Mh. Waziri mkuu alipata kunena: .............acheni kununua SUTI........
Ni kweli, maana kwa maisha ya kawaida ya mtazania mfanyakazi asiyekuwa FISADI hawezi kununua suti ya Mil 3.
 
Tunaomba kwanza u classify hizo suti ndo tuweze kuchangia vizuri (kuna suti zinazoshonwa na mafundi wetu mitaani na kuna suti zinazoagizwa nje)
 
Kuna jamaa hapa soko kuu A town anashona suti kali ajabu kwa tshs 100,000 kitambaa kwake!...huh!
 
Tunaomba kwanza u classify hizo suti ndo tuweze kuchangia vizuri (kuna suti zinazoshonwa na mafundi wetu mitaani na kuna suti zinazoagizwa nje)

Ukitaka kijione nenda pale MLIMANI CITY utajionea, kuna maduka kazaa, ila kuna hilo kiboko lipo opp. na NMB ndiyo lenye vioja, ukiwauliza wana sema eti zimetoka ITALY, au UK. Kwa hiyo mheshimiwa pinda aliongea kitu anachokifahamu kabisa, hivyo usishangae hata kidogo waziri unapomuona na suti anaweza kuwa amevaa milioni zaidi ya kumi, harafu anaenda kwa WAPINGWA KULA wa 2010 nichagueni mimi!
 
so ulitaka wagombea waende kwa wapiga kura wakiwa wamevaa midabwada au
 
Back
Top Bottom