Je Wazanzibar wana material presidential candidate 2015 ?

2015-2025 Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni Mh.Edward Lowassa.

wajuvi wote washajua,so jipange utadili na uongozi huo kivipi.
Kiutendaji jamaa anaweza na ameonyesha uwezo wake,kiasi kwamba mshikaji wake aliona anafunikwa ndio maana kamtosa,nasi watanzania tusivyoweza kuchambua mambo kwa kina tukakubali kumuita Fisadi Papa Je unaweza ukaosha kidole cha kati ukaacha kidole gumba kwa kisingizio kuwa hakikutumika ktk tukio.

Nasikitika na pia nakubali kiana kuwa Mh.EL ndio Raisi wa URT kipindi kijacho cha uchaguzi,labda tume na msimamizi wa uchaguzi iundwe kwa njia mpya.

jamani msinituhumu hii ni ndoto tu,niliota jana

Alamsiki :)

Your right, kwa uizi tu hata Kikwete hafui dafu kwa Lowassa. Usihofu Lowassa atakuwa rais kwa kuwa Watanganyika bado hatujaibiwa vya kutosha.
 
Mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010, yanawadis-qualify wazanzibar kutawala Tanganyika. Mambo ya changu ni changu bali chako ni changu,kamwe hayawezi kuvumiliwa na Mtanganyika yoyote yule unless Tanganyika nayo itambuliwe kwa katiba yake kama nchi yenye mipaka yake
 
kwa hiyo 2015 hawatakiwi hata kuwa mawaziri au makmu wa rais?
 
Back
Top Bottom