Je waweza?

Hapana..huyo dada hafai kuolewa. Kama alimfanyia hivyo mumewe aliyemwacha ni nini kitakachomfanya asimfanyie huyo mume mpya kile alichokifanya kwa mume wa zamani? Ndiyo tabia yake hiyo ku flirt na watu au hata kumegwa nje ya ndoa. Hafai kuoa huyo maana sooner or later na wewe yatakukuta yaleyale yaliyomkuta mumewe wa zamani.

Ila wanawake wengi kwenye ndoa zao wana intertain huu upuuzi(utani wa kimahaba...wengine wanaitana secret love) kutoka kwa wanaume ambao baadhi yao wako kwenye ndoa au ni bachelor
 
labda kwa kuwa sijaingia kwenye ndoa, lakini matarajio yangu ni kutomficha lolote huyo atakae nioa,
marafiki zangu mimi na yeye watakuwa marafiki zake, ndugu zangu mimi na yeye pia ni ndugu zake,
huko kazini watajua nimeolewa so hawatashutuka simu ikipokelewa na mme wangu, popote atakapokuwa na simu yangu atanijulisha kama kuna isshu yoyote ofisini na mimi ntawasiliana nao.
 
labda kwa kuwa sijaingia kwenye ndoa, lakini matarajio yangu ni kutomficha lolote huyo atakae nioa,
marafiki zangu mimi na yeye watakuwa marafiki zake, ndugu zangu mimi na yeye pia ni ndugu zake,
huko kazini watajua nimeolewa so hawatashutuka simu ikipokelewa na mme wangu, popote atakapokuwa na simu yangu atanijulisha kama kuna isshu yoyote ofisini na mimi ntawasiliana nao.

Hivi wanawake kama wewe mnapatikana wapi?
 
Nani hapa nimpatie simu yangu aiperuzi na kudadisi mpaka achoke halafu airudishe?
 
KWA HISANI YA NDOA YETU(JAPO SIJAFIKA HUKO)......NTAVINJA UKIMYA.... NA KUMWOMBA AWE NA VIDONGE VYA KUSHUHSA PRESHA:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:!!
KUTOKANA NA HILI KUNA UTATA KWANI SITAKI PRESHA NA ILI KUZUIA HILO BORA NISIRUHUSU MAZINGIRA YANAYOWEZA KUSABABISHA PRESHA!!!!!otherwise binafsi sitakuwa na wasiwasi kwani najiamini,hofu ni upande wa pili so sitapokea cm yake ila yangu nitampa hata akitaka zaidi ya 2wks.
 
Sasa kama ni hivyo ya nini kuoana? Si ni heri uishi singo tu ufanye utakavyo...i.e. mega yoyote yule unayetaka kumega au megwa na yoyote yule unayetaka akumege...
pls no.Ukiamua kuishi single no kumega neither kumegwa.
 
That is the lamest, dumbest, most ridiculously unconvincing reason I have ever heard. Eti ishu ya dingi yako kunywa hadi kujikojolea ndio hutaki mumeo ajue hadi umnyime kutumia simu yako? Girl puuhliiiiiz....kuna mushkili kwenye reasoning yako. Kwaheri....

wewe nawe hebu uko, hapo nimekutolea mfano mdogo na wa mbali sana, kama unadhani unaweza kufanya maisha yaende kama utakavyo c uoe bac.
 
Mwenzio (mwenza/ mwenzi wako) anakujia na wazo la kubadilishana simu za mkononi angalau kwa wiki moja - kuanzia Jumatatu asubuhi hadi Jumapili jioni.

Na anataka mbadilishane papo hapo bila kusubiri chochote. Yeye atakuwa na simu yako kwa hiyo wiki nzima na ataweza kupokea simu zako, text messages zako, na mengineyo na wewe utaweza kufanya vivyo hivyo na simu yake.
Je utafanya nini? Utamkubalia? Au utampiga tarehe kwanza ili upate wasaa wa kuwataarifu baadhi ya watu kuwa mwenzio anayo simu yako kwa hiyo wasikutafute kwenye namba hiyo i.e. kuweka mambo sawa?

Naomba niwajuze wana JF, ndugu zangu, SIMU ya mkononi ni kama "NGUO YAKO YA NDANI"!!!!!, tusidanganyane, mtu huwezi kuazima nguo ya ndani mwenzio!!! Wacheni mchezo huo!!!!
 
wewe nawe hebu uko, hapo nimekutolea mfano mdogo na wa mbali sana, kama unadhani unaweza kufanya maisha yaende kama utakavyo c uoe bac.

2day I admit that I like the way u reason Nyamayao though NOT all the time. Keeeeep it up
 
Back
Top Bottom