Je waweza?

Duh Nguli hapa ulitaka kunitoa jasho.
Huyo jamaa inabidi amuoe huyo binti maana kamsababishia ndoa ivunjike.
Dah mpe pole sasa kwa nn hakuenda nayo simu ****** hata ingetumbukia ingekuwa bahati mbaya.

Mpwa labda michezo ya Infidelity alikuwa haijui ndio alikuwa anaanza kujifunza
 
Yote hayo kwa mtazamo wangu ni poa tu kama huna/hana cha kuficha. Ila kama kuna/yapo ya kuficha basi lazima kutakuwa na pingamizi la namna flani....it's just as simple as that.

Nyani tatizo sio kuficha kitu. Tatizo ni muktadha wa kitachotokea akiwa na simu. mfano simu inapigwa akipokea ikatwe maana mpigaji anafikiri ni wrong number. Haya mfano sms inaingia "sasa Mpamba lunch vp leo huji?" au "leo sitaweza kuja jamaa amenibana sana"
Naamini wiki ya kubadilishana simu ikiwa siku ya 3 tu ndoa itakuwa juu ya mawe. Labda uajiri wakili wa kukutetea. Uzuri nitamkabidhi ila nitamwambia "take it at your own risk...tusijelaumiana mbele ya safari"
 
Mkuu hii kali ila imefanana sana na hadithi za Eric James Shigongo! SMS huwezi kuacha mke bwana ukizingatia mko pamoja miaka kibao. Hapo wazee wa kanisaha huitwa kupatanisha. Kusamehe na kuendelea kucheza kwa step

Mkuu omba Mungu haya mambo yakupitie mbali.....nahisi wanaume wengi wanakufa haraka kwa sababu ya kuuambiwa ndoa haivunjiki sijui nini.....ukikuta sms kama hio unafikiri hata aandike dessertation kama maelezo ita click kichwani mwako kuwa it was just a mere joke????
 
Just for the sake of the discussion let's just say you are in a marriage....forget about boyfriend-girlfriend...

If the exchange idea props up out of insecurity on her part, then I will volitionally give her my phone and number to keep, not for a week but all time, provided I remain innocent in all this. The issue about simu za kikazi and family matters - these can be discussed and agreement reached that she can forward call or take messages but she shouldn't have a say in them. Likewise, though I count her as family but I still wouldn't want to interfere with her bloodline family matters.
 
Kuu tatizo sio kuficha kitu. Tatizo ni muktadha wa kitachotokea akiwa na simu hasa simu zitakazopigwa akipokea zikatwe maana mtu anafikiri ni wrong number au sms zitakazoingia. Mfano sms inaingia "sasa Mpamba lunch vp leo huji?" au "leo sitaweza kuja jamaa amenibana sana"
Naamini wiki ya kubadilishana simu ikiwa siku ya 3 tu ndoa itakuwa juu ya mawe. Labda uajiri wakili wa kukutetea. Uzuri nitamkabidhi ila nitamwambia "take it at your own risk...tusijelaumiana mbele ya safari"

Bado naamini kama huna cha kuficha basi hutakuwa na tatizo hata kidogo la kumwachia mwenzio simu yako. As simple as that.
 
Suala kama hilo halipo na wanaofanya hivyo hawajui maana halisi ya kutumia simu hata kama mpo katika mahusiano ya namna gani au kukaa kwa muda gani katika mahusiano.Kuna watu wengi ambao mtu unakuwa unawasiliana nao na ni muhimu kwako tu hata kama wanajua kuwa una mke/mwenza wako,sasa kama utampa mwenzio simu eti aitumie si utakuwa unakosa mambo mengi?Kwa mfano mfanyakazi au mfanyabiashara si atakuwa anaharibu mambo yake kwa kisa tu mwenzi wake anataka wabadilishane?
Sioni faida yake zaidi ya kutengeneza hasara
 
If the exchange idea props up out of insecurity on her part, then I will volitionally give her my phone and number to keep, not for a week but all time, provided I remain innocent in all this. The issue about simu za kikazi and family matters - these can be discussed and agreement reached that she can forward call or take messages but she shouldn't have a say in them. Likewise, though she is now my family but I still wouldn't want to interfere with her family matters.

See, you get it and I wholly agree with you on this one.
 
maana sooner or later na wewe yatakukuta yaleyale yaliyomkuta mumewe wa zamani.

Komredi kutokana na maelezo ya Nguli hapo juu hawa watu walikuwa wanataniana na hawakuwa na uhusiano.
Kosa la huyu dada ni kukubali kutaniwa mpaka utani ukapitiliza
 
Komredi kutokana na maelezo ya Nguli hapo juu hawa watu walikuwa wanataniana na hawakuwa na uhusiano.
Kosa la huyu dada ni kukubali kutaniwa mpaka utani ukapitiliza

Oh okay nimeelewa. Lakini ukishaoa au kuolewa kuna baadhi ya matani (hasa ya kingono ngono) ambayo hutakiwi kuyaendekeza kutokana na kumheshimu mumeo au mkeo. Hivyo ndivyo nionavyo mimi.
 
Yote hayo kwa mtazamo wangu ni poa tu kama huna/hana cha kuficha. Ila kama kuna/yapo ya kuficha basi lazima kutakuwa na pingamizi la namna flani....it's just as simple as that.

kwa dizaini yako bora kweli ubaki cngle.....
 
Oh okay nimeelewa. Lakini ukishaoa au kuolewa kuna baadhi ya matani (hasa ya kingono ngono) ambayo hutakiwi kuyaendekeza kutokana na kumheshimu mumeo au mkeo. Hivyo ndivyo nionavyo mimi.

Maisha ya ndoa kwakweli ni magumu sana na inatakiwa uwe na moyo mgumu
 
Bado naamini kama huna cha kuficha basi hutakuwa na tatizo hata kidogo la kumwachia mwenzio simu yako. As simple as that.

ishu hapa sio kuficha, nadhani kama mie naweza kumpa cm yangu akakaa nayo hata mwezi tatizo kuna ishu zangu za kifamilia pia zinatakiwa ziwe zangu na familia yangu jamani, sasa imagine anakuta sms kutoka kwa mama yako inasema jana baba yako alilewa mpaka akajilkojolewa...inamuhusu nini?...hapana bwana hata kama ndoa sio kihivyo, hakuna anaeweza kuwa 100% free na mwenza wake.
 
Maisha ya ndoa kwakweli ni magumu sana na inatakiwa uwe na moyo mgumu

nyie ndio mnaya complicate, cdhani kama kuna mtu anaeweza ku share mambo yake ya maisha 100% ya mtu mwingine, kuna vitu mtu unatakiwa viwe vyako ki vyako bwana.
 
ishu hapa sio kuficha, nadhani kama mie naweza kumpa cm yangu akakaa nayo hata mwezi tatizo kuna ishu zangu za kifamilia pia zinatakiwa ziwe zangu na familia yangu jamani, sasa imagine anakuta sms kutoka kwa mama yako inasema jana baba yako alilewa mpaka akajilkojolewa...inamuhusu nini?...hapana bwana hata kama ndoa sio kihivyo, hakuna anaeweza kuwa 100% free na mwenza wake.

That is the lamest, dumbest, most ridiculously unconvincing reason I have ever heard. Eti ishu ya dingi yako kunywa hadi kujikojolea ndio hutaki mumeo ajue hadi umnyime kutumia simu yako? Girl puuhliiiiiz....kuna mushkili kwenye reasoning yako. Kwaheri....
 
Mie nitampa ila atakachokutana nacho asije kuniuliza wala kukizungumzia maishani mwake yote

Shoga yangu akiniletea msg inayoihusu familia yake anataka ushauri, sitaki kuulizwa nimetoa ushauri gani wala imekuwaje kwa sababu haimuhusu.

Kuona kwake msgs zangu isiwe sababu ya ku compromise Siri za shoga na familia yangu
 
nyie ndio mnaya complicate, cdhani kama kuna mtu anaeweza ku share mambo yake ya maisha 100% ya mtu mwingine, kuna vitu mtu unatakiwa viwe vyako ki vyako bwana.

Mmmh kivyako wkt kanisani mmesema mmeungana sasa ni kitu kimoja! labda ueleweke kuna kaubagudhi flani ndani ya ndoa.
 
What sense does it make to be married and still hide stuff from your significant other? If that's not dumb then I don't know what is....

Those who still hide after marriage its possible that they were not sure of their decisions 'to marry' while they were making them, and thats why we are normally advised to take time to get to know our partners before we engage into any serious committments.

Cos it surely doesnt make sense to live with a person u dont trust enough....and we say "together forever until death do us apart"
Mh....kidogo panakuwa pagumu
 
Back
Top Bottom