Je wawajua wajarawa waafrika wanaofanyiwa utalii India?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3]Chanzo: mpayukaji blog[/h]

jarawas_022.jpg



Kila siku dunia inalaani ubaguzi. Kila siku Afrika inakaribisha kila aina ya wageni wakiwamo wezi, matapeli hata waliokuwa wema. Lakini ndugu zetu wenyewe wanateseka na kutenzwa kama wanyama na hakuna anayejali. Leo Televisheni ya Al Jazeera ilirusha kipindi kinachoonyesha kabila la wajarawa wakifanyiwa utalii kama wanyama huko India wakiwa uchi wa mnyama na kuishi kama hayawani. Inasikitisha sana kuona Afrika inavyowakirimu wauaji hawa bila kujua kuna siku watarudisha biashara ya utumwa. Hapo juu ni picha pekee inayotazamika ya wajarawa. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA na HAPA.
 
Dah, niliwahi kusikia habari za hawa watu sikuzielewa vizuri. Kumbe hii ni kweli chungu kwa bara hili. Tungekuwa na umoja angalau wa kisiasa tu tungewafurusha wahindi wote. Lkn watawala wasiowajali hata raia wa nchi zao wataguswaje na hili??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom