Je, wawajua makada wa CHADEMA waliotengenezwa na CCM?

Tanganyika jeki

JF-Expert Member
Jun 12, 2011
243
87
Chadema haina pesa ya kuwalipa makada. CCM inajimaliza yenyewe kwa kuwatengenezea makada wapinzani wao. Makada hao - kwa kujua au kutojua na mchango wao kwenye mabano1. Wanafunzi waliofukuzwa au kusimamishwa vyuo vikuu - na juzi wamezalisha wengine Chuo cha Dodoma, wanafunzi wa shule za kata waliofeli kidato cha nne (kuishtakia serikali (ya CCM) kwa wananchi ili waichukie na kushindwa kuwa na elimu bora bali bora elimu2. Walimu na madaktari - hasa wa vijijini - waliopigika hawana nyumba vitendea kazi, mishahara kidogo na wapigwa bakora! Kupeleka na kueneza chuki kwa wanafunzi na wanavijiji kuhusu udhaifu CCM na serikali yake 3. Wanachama na wachangiaji wa Jamii forums (kuwasaidia CHADEMA kwa hoja, habari na mawasiliano) 4. Mwenyekiti kwa kutoa mara kwa kauli zake za tata - kama viongozi wa dini wauza unga, viherehere vyenu (kauli nyingine, ongeza mwenyewe.5. Polisi (virungu, na risasi zao zinaiumiza CCM kuliko CDM). Dhana ni kupoteza credibility ya CDM kwa wananchi km chama cha kuharibu amani. Ushahidi unaonesha watu wazidi kuongezeka hasa ktk maandamano. Lakini pia uonevu na unyanyasaji wa polisi kwa mambo ya haki na kudai maslahi umewafanya watu wazidi kuichukia serikali ya CCM6. Wabunge na mawaziri wa CCM. (Bila kuijua wanaitangaza CDM majimboni, Bungeni na ktk vyombo vya habari na hoja dhaifu zisizo na maslahi ya taifa na wengi)7. Mwanahalisi, raia mwema, tz daima, mwananchi, kulikoni, majira na nipashekwa wkt fulani. Haya hayasiti kuripoti na kuonesha mapungufu ya chama, serikali na viongozi wake.8. Radio zenye mijadala ya kimaendeleo zinazowaunganisha wananchi moja kwa moja9. Baadhi ya TV Stations na vipindi hasa vya majadiliano 10. Viongozi na watumishi wa serikali za mitaa. (Cjui wanafanya makusudi - na kwamba wameichoka serikali yao - kwani ni kero kwa wananchi)11. Watumishi wa umma kwa ujumla wao. (Km hujui inyake hii. Miongoni mwa watumishi wa umma kuna matabaka makuu mawili:- ya walioletwa na vigogo na kulindwa ajira zao - hawa ni tawi la tabaka tawala na juu na wengi ni mafisadi au watetezi wa ufisadi. La pili ni waloajiriwa kwa merits zao. Hawa, kwa kweli wanatumika hasa lakini maslahi yao ni stahiki yao na baadhi ni hupata mshahara duni. Wamekata tamaa. Baadhi wanafanya whistle blowing - wanamwaga mboga baada ya kukosa ugali. CDM hawahitaji mashushushu hawa huisadia! Kwa kupeleka taarifa chamani au na mara kwenye vyombo vya habari)12. Ongeza unaowajuaTANZANIA KWANZA
 
uko sawa mno
ingawa kuna makundi mengine itawachukua muda sana kujinasua na ccm maana hawajapata mwanga wa kutosha na wengine wameshajikatia tamaa hawahitaji mabadiliko.
mapenzi yangu
 
Kaka umenena mfano mzuri ni shule za kata na university kwa kuanza na Ward school wamechukua wanafunzi wengi pasipo walimu,mabara,vitabu n.k outcome yake wanafunzi wanamaliza hawana kitu chochote walichokipata zaidi ya kuambulia zero&four hawa wanafunzi wapo mitaani ukiwambia habar za ccm wanakuchukia sana.
 
Wanaopigia chapuo ccm ni kundi la wafanyakazi wachache ,makada na wafanyabiashara wanaonufaika moja kwa moja mna mfumo uliopo,wachache kwa ujumla wao lkn wana nguvu itakayodumu kwa mda,vita vinazidi kunoga,mechi kati ta majoriy poor na minority affluent,mwelekeo wa ushindi upo mikononi mwa majority poor
 
Ndugu TJ, uko sahihi bin sawia, lakini uwe unaweka paragraph ili mtililiko usomeke vizuri vinginevyo macho yanachoka kutazama mtama!
 
Ndugu TJ, uko sahihi bin sawia, lakini uwe unaweka paragaraph ili mtililiko usomeke vizuri vinginevyo macho yanachoka kutazama mtama!
Uncle T, si unajua tena ka-simu kwa mchina. Hakana pa kubofya ili niweke vizuri paragraph. Ila kanantoa. However, thank you
 
Hata kitendo cha kuinasibisha JF na chadema ni upoyoyo mwingine wa ccm.....
JK kuwananga raia wa afrika et hawana uzalendo ni janga lingine

lakini vurugu za bi kiroboto nazo ni tatizo kwaooooo
 
Asilimia 14 ya watanzania wanaopatwa na masaibu ya kila kukicha mgao wa umeme......hakika sote tumejiunga CDM na lazima tukibwage chama cha Magamba ASAP b4 2015.
 
Tm. Uko sahihi huyo aliyebaki ni gamba ajaye ukombozi upo karibu 2015 siyo mbali hata kwa manati tumechoka, umeme, foleni, wizi wa mchana hata wanyama wanauza?!!
 
Chadema haina pesa ya kuwalipa makada. CCM inajimaliza yenyewe kwa kuwatengenezea makada wapinzani wao. Makada hao - kwa kujua au kutojua na mchango wao kwenye mabano1. Wanafunzi waliofukuzwa au kusimamishwa vyuo vikuu - na juzi wamezalisha wengine Chuo cha Dodoma, wanafunzi wa shule za kata waliofeli kidato cha nne (kuishtakia serikali (ya CCM) kwa wananchi ili waichukie na kushindwa kuwa na elimu bora bali bora elimu2. Walimu na madaktari - hasa wa vijijini - waliopigika hawana nyumba vitendea kazi, mishahara kidogo na wapigwa bakora! Kupeleka na kueneza chuki kwa wanafunzi na wanavijiji kuhusu udhaifu CCM na serikali yake 3. Wanachama na wachangiaji wa Jamii forums (kuwasaidia CHADEMA kwa hoja, habari na mawasiliano) 4. Mwenyekiti kwa kutoa mara kwa kauli zake za tata - kama viongozi wa dini wauza unga, viherehere vyenu (kauli nyingine, ongeza mwenyewe.5. Polisi (virungu, na risasi zao zinaiumiza CCM kuliko CDM). Dhana ni kupoteza credibility ya CDM kwa wananchi km chama cha kuharibu amani. Ushahidi unaonesha watu wazidi kuongezeka hasa ktk maandamano. Lakini pia uonevu na unyanyasaji wa polisi kwa mambo ya haki na kudai maslahi umewafanya watu wazidi kuichukia serikali ya CCM6. Wabunge na mawaziri wa CCM. (Bila kuijua wanaitangaza CDM majimboni, Bungeni na ktk vyombo vya habari na hoja dhaifu zisizo na maslahi ya taifa na wengi)7. Mwanahalisi, raia mwema, tz daima, mwananchi, kulikoni, majira na nipashekwa wkt fulani. Haya hayasiti kuripoti na kuonesha mapungufu ya chama, serikali na viongozi wake.8. Radio zenye mijadala ya kimaendeleo zinazowaunganisha wananchi moja kwa moja9. Baadhi ya TV Stations na vipindi hasa vya majadiliano 10. Viongozi na watumishi wa serikali za mitaa. (Cjui wanafanya makusudi - na kwamba wameichoka serikali yao - kwani ni kero kwa wananchi)11. Watumishi wa umma kwa ujumla wao. (Km hujui inyake hii. Miongoni mwa watumishi wa umma kuna matabaka makuu mawili:- ya walioletwa na vigogo na kulindwa ajira zao - hawa ni tawi la tabaka tawala na juu na wengi ni mafisadi au watetezi wa ufisadi. La pili ni waloajiriwa kwa merits zao. Hawa, kwa kweli wanatumika hasa lakini maslahi yao ni stahiki yao na baadhi ni hupata mshahara duni. Wamekata tamaa. Baadhi wanafanya whistle blowing - wanamwaga mboga baada ya kukosa ugali. CDM hawahitaji mashushushu hawa huisadia! Kwa kupeleka taarifa chamani au na mara kwenye vyombo vya habari)12. Ongeza unaowajuaTANZANIA KWANZA

Point unazo kaka lakini kwa uandishi huu naamini wewe ni Tanganyika Jeki maana hadi namaliza kusoma akili nimenitulia duh .
 
Back
Top Bottom