Je, waufahamu huu mmea?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
IMG_1521.JPG
Ni mmea ambao ni wa ajabu kidogo na matunda yake sijawahi kuyala.
Mmea gani huu?
 
Kwetu tky tunaita ndizi za nyani, zina mbegu kubwa ndani.
Kweli kabisa, huo mmea Lole , na Kanyapini unaitwa Musa Ensette Glaucum, au snow Banana plant.
imagejpeg

Mmea huu hupatikana sehemu za tropics, high altitude(kama Uporoto), na sehemu zilizo na mvua nyingi na baridi kali.

Lole, nipe Jiji!
 
Umepatia, ila wewe malafale unajua kila kitu?
 
Back
Top Bottom