Je watanzania bado wana tumaini na DR.Slaa?

PAMBANA

Member
Oct 21, 2010
73
21
Ndugu watanzania na wanaJF naomba kuuliza swali lifuatalo " Je ni kweli bado watanzania wana tumaini kwa DR.Slaa kuwa rais wao kipindi kijacho?"
 
Sisi sio Wasemaji wa Watanzania, labda uulize hali ya kisiasa inaashiria nini, kama ni hivyo, basi jibu ni kwamba SLAA for LIFE, usipende ku-generalize mpwa....
 
Ndugu watanzania na wanaJF naomba kuuliza swali lifuatalo " Je ni kweli bado watanzania wana tumaini kwa DR.Slaa kuwa rais wao kipindi kijacho?"
hapana tunaaamini JK ataongezewa muda aendelee kuwa raisi wa tanzania!
 
PAMBANA;162489 " Je ni kweli bado watanzania wana tumaini kwa DR.Slaa kuwa rais wao kipindi kijacho?"[/QUOTE said:
'I sat for sometime looking around me with wonder and terror,wherever i turned i could see nothing but danger and difficult,i see myself in the middle of great wild country almost alone and without clothes,this thought filled my mind and my hope begain to leave me,i think there is nothing for me to do but to lay down and die'.....thanks be to God who sent us dk.slaa to lead the battle and for sure we are going to conquer it....peoples power
 
Dr. Slaa ndiye rais wa watu, JK ni rais wa NEC na TISS. Tuna imani kubwa na rais tuliyemchagua japo hayupo ikulu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom