Je wanawake wote walevi kimapenzi?

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Nikiwa bwax, huwa maongezi yangu na wasichana/wanawake huwa smooth na muruwa, ila nikiwa fit, inategemea na mood ya kila mmoja wao. Je wanawake wote huwa akili yao ni kama wamelewa all the time (Ulevi unaweza kuutafsiri kama akili iliyochangamka sana na kuwa alert kuliko kawaida, na inaweza kuthubutu, ulevi si lazima uwe ni uzembe au ujinga, na mtu ambae ana kilevi anaweza kuenjoy an kuhave fun kuliko asiye na kilevi mwilini) Nilipokuwa kijana nikimtokea msichana nikiwa drunk, I hardly miss my date, na tukiwa company they lough and enjoy a lot.
 
Nikiwa bwax, huwa maongezi yangu na wasichana/wanawake huwa smooth na muruwa, ila nikiwa fit, inategemea na mood ya kila mmoja wa[o. Je wanawake wote huwa akili yao ni kama wamelewa all the time? Nilipokuwa kijana nikimtongoza msichana nikiwa drunk. I hardly miss my date, na tukiwa company they lough and enjoy a lot.

Unapolewa hubakishi neno la kusema wala tendo la kufanya na katika kufanya hivyo inatokea kufanikiwa kutamka au kutenda jambo la kumfurahisha mwanamke!
 
it means wewe ni domo zege......

Hujiamini katika kutongoza mwanamke.... Hadi unywe pombe ndo unajiona shujaa......

Unaogopa wanawake na kwako ujasiri huja pale tu unapolewa......
 
Unamaanisha wanawake tuna confidence all the time lakini wewe mpaka unywe pombe ndo unapata confidence??au?
 
eeeeh ulevi sanifu yamkini wamfurahisha mwanamukeeee....................
 
Nikiwa bwax, huwa maongezi yangu na wasichana/wanawake huwa smooth na muruwa, ila nikiwa fit, inategemea na mood ya kila mmoja wao. Je wanawake wote huwa akili yao ni kama wamelewa all the time (Ulevi unaweza kuutafsiri kama akili iliyochangamka sana na kuwa alert kuliko kawaida, na inaweza kuthubutu, ulevi si lazima uwe ni uzembe au ujinga, na mtu ambae ana kilevi anaweza kuenjoy an kuhave fun kuliko asiye na kilevi mwilini) Nilipokuwa kijana nikimtokea msichana nikiwa drunk, I hardly miss my date, na tukiwa company they lough and enjoy a lot.

Nnavyojua mimi ili mtu acheke na kuenjoy kwenye mazungumzo hutegemea na kinachomtoka yule aliye naye(mind content).
Na kwa sababu life preference hutofautiana, then its really hard to please all the people.
Labda;
a) wewe ni mmojawapo wa wale watu wachache walio na busara za kuzungumza na watu wote vizuri( even under the influence of alcohol).
b) Unachagua wasichana ambao mnaendana kitabia
c) Basi tu wanakucheka ila wewe unadhani unachokisema kinawachekesha
 
lol! bora yeshe tu.........,kha! kwa hiyo bila alcohol damuni we ni DHAIFU au?
 
sasa hapa ndo unazidi kunichanganya.....hata ile niliyoanza kuelewa imeenda.....

Ni hivi dadaangu. Yeye pekee aliefanya utafiti (huku akiwa amelewa) na anahisi kila mwanamke huwa ana mkubalia. Anaamini kuwa wanawake wote wamo kwenye kundi moja analolijuwa yeye i.e walevi wenzake!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom