Je, wajua?

Kipenzi Chao

Member
Oct 12, 2010
99
4
  1. Je, wanaume mwajua kuwa waweza kumtunza mkeo kwa kumpatia vitu kama gari zuri, nyumba nzuri, bank account iliyonona, uhuru wa kutosha, nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi, mapenzi yote atakayo na kwa kiwango anachotaka, saloon, mavazi apendayo, simu nzuri, computers, kumsomesha, kumtafutia kazi nzuri, n.k, lakini huenda akadanganyika kwa vocha ya Tshs. 1,000 au lift?
  2. Je, wanawake mwajua kuwa mmeo anaweza kuwa na Tshs. 200,000 mfukoni, na akabania Tshs. 20,000 za kukupeleka wewe/mama yake mzazi hospitali, lakini akajikuta ametumia Tshs.100,000 kati ya hizo kumbembeleza kimada na bado akaambulia patupu?
 
moyo ndio husema.....so ni kawaida
 
Inategemea,love is not all about money and wealthy,ndo maana unaweza ukawa unampa mkeo/mumeo kila kitu lakini ana kihawara nje tena maskini au msukuma mikokoteni, ukiona hivyo jua mwenzio yuko after money lakini mapenzi yake yapo kwa mtu mwingine,any way we have to be careful haswa kwenye relation affairs la sivyo utajikuta ur not happy with ur marriage,kwa kifupi if u real love someone huwezi kumdanganya,ukiona unatoka nje ya ndoa yako jua kuna walakini baina yenu
 
  1. Je, wanaume mwajua kuwa waweza kumtunza mkeo kwa kumpatia vitu kama gari zuri, nyumba nzuri, bank account iliyonona, uhuru wa kutosha, nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi, mapenzi yote atakayo na kwa kiwango anachotaka, saloon, mavazi apendayo, simu nzuri, computers, kumsomesha, kumtafutia kazi nzuri, n.k, lakini huenda akadanganyika kwa vocha ya Tshs. 1,000 au lift?
  2. Je, wanawake mwajua kuwa mmeo anaweza kuwa na Tshs. 200,000 mfukoni, na akabania Tshs. 20,000 za kukupeleka wewe/mama yake mzazi hospitali, lakini akajikuta ametumia Tshs.100,000 kati ya hizo kumbembeleza kimada na bado akaambulia patupu?
hii hapa ni kweli anayebisha aje hapa
 
sltn ni kunyimana tu nthng else.......
km akitoka bas aingilie ukouko pia.....
 
yah...I think so
NO...! But we should find out on how to avoid these situations madam....!

hii hapa ni kweli anayebisha aje hapa
Hakuna aliyejitokeza kubisha, lakini unadhani kuna namna ya kuzuia hali hizi?

Ndio mi/tunafaham. Ssa mbona umeuliza halaf ukaacha thread inahang?
Thread haikuachwa mkuu. Bali solutions zinahitajika mkuu, ningeomba wazo lako juu ya kukabiliana na hali kama hii...!

Kazi ipo! Solution ni kuzabana vibao tu!
This is not a solution anyway....! But, better we discuss together on how to go about situations like that...!

Hapa mnadiskasi nini?
Tunahitaji mchango wako mkuu, please come on...!
 
Wewe kunyimanyima!! Aaaah tutaendelea hata kunyima mengineyo tu, even smile mbele ya mgeni tutamnyima na mgeni pia!
ndo manake ata wewe pia ntakunyima ila ntakupa reply tu katika post..papa mopaooooooooooooooooooooo aaaaanhaaaaaaaa...........niendelee?
 
leo unananihii eeeh week end hukumaliza eeh! twende chumbani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom