Je wajua...?

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,167
1,706
1) Unaweza kutoa gesi yenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia kwa KUJAMBA mfululizo kwa miaka 6 na miezi 9
2) Hakuna Pundamilia anayefanana mistari na wenzake?
3) DREAMT ndiyo neno pekee katika lugha ya Kiingera linaloishia na herufi MT....
4) Macho yako hayakui tangu uzalie ila Pua na Masikio hukua milele?
5)............
6)............

Endelea tafadhali
 
Hii nimeipenda. Na mimi nongezea

Iwapo unatafuna big g wakati unakata vitunguu, kamwe hutatokwa na machozi
 
Binadamu hawezi kujitekenya na akacheka,Jeikei ndiye rais pekee duniani aliyesafiri mara nyingi zaidi akiwa madarakani.
 
Marekani ni kubwa kwa km za mraba mara 10 ya tanzania,mnyama mrefu ni twiga na nyoka aina ya anaconda.Kwa maana ya urefu wa kwenda juu ni twiga na urefu wa mlalo(horizontal) ni anaconda,maji ya mto nile yanayokatiza ziwa victoria kamwe huwa hayachanganyiki,
 
Jina lako haliwakilishi chochote kile kilichopo mwilini mwako bali NAFSI isiyoonekana.
jina la BUBU MSEMAOVYO haliwakilishi chochote kama kichwa, mkono , moyo nk.
Vyote hivyo vitaitwa: Kichwa cha BUBU MSEMAOVYO, mkono wa .... moyo wa ....NK
 
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa kupindukia lakini raia wake wanaongoza kwa ujinga,umasikini
 
Marekani ni kubwa kwa km za mraba mara 10 ya tanzania,mnyama mrefu ni twiga na nyoka aina ya anaconda.Kwa maana ya urefu wa kwenda juu ni twiga na urefu wa mlalo(horizontal) ni anaconda,maji ya mto nile yanayokatiza ziwa victoria kamwe huwa hayachanganyiki,

Hapo kwenye red nimebaki hoi kwa kweli
 
Marekani ni kubwa kwa km za mraba mara 10 ya tanzania,mnyama mrefu ni twiga na nyoka aina ya anaconda.Kwa maana ya urefu wa kwenda juu ni twiga na urefu wa mlalo(horizontal) ni anaconda,maji ya mto nile yanayokatiza ziwa victoria kamwe huwa hayachanganyiki,

Mkuu rudi tena kashauriane na mwalimu wako wa jiografia.MAJI YA MTO NILE YANATOKA ZIWA VICTORIA NA KUMWAGA MEDITERRANEAN SEA, NA SIYO TU KUTOCHANGANYIKA, BALI MAJI YA MTO NILE NI MAJI HALISI YA ZIWA VICTORIA. Na kamwe mto Nile haukatizi Ziwa Victoria bali Unatoka ziwa victoria! Daka hiyo itakusaidia wewee...!!!
 
Back
Top Bottom