Je wajua....?

Je wajua maana ya neno 'fariki' ni 'ondoka?'.
Ndio maana mtu akiaga dunia tunasema 'amefariki dunia'. Kwa hiyo unaweza ukalitumia neno lenyewe kwa mfano ukitaka kumuuliza mgeni wako anaondoka lini, mwambie 'Utafariki lini?'.
 
usije ukamfanya mgeni anaondoka bira ya kuaga.
 
Back
Top Bottom