Je, wajua?

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
438
65
Je, wajua kuwa paka ukimrusha kutoka gorofa ya 7 anakufa lakini ukimrusha kutoka gorofa ya 14 hafi?
 
UAkiruka toka gorofa ya 7 anakuwa hana mda wa kujigeuza ili aangukie mikono na miguu na kuji balance, lakini akitoka juu zaidi anakuwa na mda wa kuangukia miguu badala ya mgongo na anakuwa ameshajiandaa kisaikoloji
 
Uchunguzi wa kitaalamu umebaini kuwa paka anaporushwa hewani hupoteza fahamu na kurudiwa baada ya sekunde 30. Sasa anaporushwa toka gorofa ya saba, hupoteza fahamu na kabla haijarudi hufika chini na kujibamiza na kufa. Akitoka gorofa ya 14 hurudiwa na fahamu kabla hajafika chini na hivyo, akiwa hewani ana uwezo wa kujigeuza na kichwa kuwa juu, mgongo hunyooka na vilevile ana uwezo wa kupunguza spidi ya kushuka na hata anapotua hutua kwa spidi ndogo bila madhara yoyote!
 
Actually paka anahitaji mita moja tu kuweza kujigeuza sasa sijui nyumba ya orofa saba ina mita ngapi?
 
P.E= mgh
K.E = 1/2mv2(a half x mass x velocity square)

Sasa huyo paka atachange form of energy na kulingana energy, P.E=K.E
then v=square root ya 2x gravitation force x height

Sasa ghorofa 14 ni kama mita 50 hivi, kwahiyo ukichukua uzito wa paka ukatafuta velocity pale ndugu inakuwa balaa.

Unless huyo paka ana vitu vifuatavyo:
1. Ana spring ambazo zinaweza kupunguza(damping) ile impact
2. Ana mabawa(kucreate upward force ambayo itakuwa inaoppose na downward) mpaka anafika na velovity ndogo ambayo haitakuwa na impact kwake kwenye energy transformation

Otherwise tango!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom