Je wajua?ndege iliyokuja kubeba wanyama wetu ..kumbukeni tulitumia mabilioni kununua rada ..ya nini?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
kumbukeni tulinunua rada kwa mabilioni ..rada ya nini? jibu wanalijua watu wa magogoni
561384_204313886353859_100003257482531_327739_839474459_n.jpg
 
Ama kweli ilinunuliwa rada kwa ajili moja tu!
Na bila shaka ilidhihirika!

sisiem imekuja geuka kuwa piGo kwa Watanganyika!

Ila hakika naye siku zake zinahesabika!
Itatoweka ndani ya ulimwengu wa siasa hapa Nchini.

Hawana bahati!
 
Back
Top Bottom