Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Kaka mwanasayansi mkubwa sana ni IMHOTEP ambae kajenga the first stepwise pyramid na baadae akajenga pyramids of giza. which is one of the unesco world wonders. tembelea misri. mim nilibahatika kufanya ziara yakisomi.

HUYU NDIE MATHEMATICIAN, STRUCTURAL ENGINEER WAKWANZA DUNIANI. WAZUNGU HAWATOKI PALE KUSOMA MAAJABU YA MTU MWEUSI. WAKO PALE TANGU ENZI HIZO ZA ALEXZANDA THE MECIDONIAN MPAKA LEO WAKISHANGAA NA KUSOMA ELIMU AMBAYO IMEJAA SIRI NYINGI.

HAKUNA KITU MZUNGU KAGUBDUA DUNIA HII KWA MAANA AMEACCESS MOTHER KNOWLEDGE. TAZAMA MESEUMS ZOTE ZA EUROPE ZIMEJAA ARTIFACT ZETU JIULIZE KWANINI WANANG'ANG'ANIA URITHI WETU?

SIRI ZA DUNIA ZIPO PALE MISRI, ETHIOPIA NA NUBIA AMBAYO NI SUDAN YA LEO.

KUNA TABLET INAITWA SHABAKA STONE. TAFUTA KWENYE YOUTUBE UTADUWAA.

ALIEDESIGN WHITEHOUSE NA JIJI LA WASHINGTON NI MTU MWEUSI ANAITWA BENJAMINI BENAKER.

YESU ALISEMA. TAFUTENI MTAPATA, BISHENI HODI MTAKARIBISHWA, OMBENI MTAPATA.
THISBIS A SERIOUS TIME FOR BLACKS TO AWAKENING. USIPENDE KUSOMA VITABU VYAO UTATOKA KAPA. TOKA NJE YAO UKWELI UTAUPATA. BLACK POWER
Correction. anaitwa BENJAMIN BANNEKER
upload_2016-4-10_23-36-41.jpeg
upload_2016-4-10_23-36-41.jpeg
 
Ila wazungu wanautan.... Eti tunafundishwa darasan mpakA na michoro waafrika tulikua ni nyan...! Kama hizi histia zipo ni kwanin zisiandikwe na ziingizwe kwenye Mtaa Wa history watoto wawe wanajifunza ukweli badala ya ujinga...
Ni vizuri kwamba tuna Waziri mwenye upeo..Mama Ndalichako. inabidi wanafunzi waanze kufundishwa historia sahihi..sio propaganda na uongo wa watu weupe.
 
Bravo. jibu ni kwamba kuna watu walifungua mlango wa nyuma maadui wakatuzunguka tukaisha majemedari wote wa KIKE NA WAKIUME.

Ila lakufahamu ni kwamba hizo empire za ubabeli, persia, carthigian(Phoenician empire) greece na roman zilikuwa ni empire za blacks mtupu. Wazungu, waturuki ambao leo ndio wanaojiita waarabu walikuwa watumwa wa kubeba silaha zetu. tulikuwa tunapigana wenyewe kwa wenyewe. Na kuanza kujichaguliwa wanawake wa mataifa tukazaanao watoto. hawa watoto wamataifa tukawapa nafasi maana ktk veins zso damu zetu zinapita. tukawapa poditions ktk tawala. ndipo walipofanya mageuzi ns kuwafree wajomba zao mamlaka ya kiutawala wa kisiasa na kiroho tukapokonywa Rejea Kitabu cha Mwanzo Sura ya 6. kuwa waana wa Mungu waliwaona mabinti wa waanadamu.............Gharika ikaja ya Mauwaji

ni makosa makubwa tuliyafanya ya kuzaa na mabinti wa wanadamu, Empire zetu baadae zikakaliwa na beasts ambao tangu kuumbwa kwao walidharaulika na kunyanyaswa.
Lakini waliokakimbia wakaanza kujenga maempire tena rejea Mwenemutapa, Mali, Zulu, Songhay, Timbuktu na Exum.
Wengine wakaelekea magharibi.

Wakatufwata baada ya berlin conference rejea Zaburi sura ya ya 83 utapata jibu. SWALI HAPA TUFANYE NINI ILI UTAWALA WA KIROHO NA WAKISIASA URUDI TENA MIKONONI MWETU?
Umeiva safi sana...
 
Uko sahihi kabisa..Yesu hakuwa mkristo..alikuwa ni myahudi mpaka siku anaondoka duniani. na wala hakuacha dini inayoitwa ya ''wakristo''.

Ukristo ulianzishwa na wanafunzi na wafuasi wake.Yesu Mnazareti mpaka siku zake za mwisho alisali kutumia Torati. Na wala agano jipya New Testament halikuandikwa na Yesu.
YESU NI KRISTO, NA WAKRISTO NI WALE WANAOFUATA MAFUNDISHO YA KRISTO, UKRISTO SI DINI.
 
YESU NI KRISTO, NA WAKRISTO NI WALE WANAOFUATA MAFUNDISHO YA KRISTO, UKRISTO SI DINI.

“Then charged he his disciples that they

should tell no man that he was Jesus the

Christ.” (Matthew 16:20)
 
Nitajie wapi katika biblia alipojitaja kuwa yeye ni kristo.

Jesus is the Christ as is claimed in the New Testament.

  • "Now the birth of Jesus Christ was as follows: when His mother Mary had been betrothed to Joseph, before they came together she was found to be with child by the Holy Spirit," (Matthew 1:18).
  • Simon Peter answered, “You are the Christ, the Son of the living God.” 17 And Jesus said to him, “Blessed are you, Simon Barjona, because flesh and blood did not reveal this to you, but My Father who is in heaven," (Matthew 16:16-17).
  • "But He kept silent and did not answer. Again the high priest was questioning Him, and saying to Him, “Are You the Christ, the Son of the Blessed One?” 62 And Jesus said, “I am; and you shall see THE SON OF MAN SITTING AT THE RIGHT HAND OF POWER, and COMING WITH THE CLOUDS OF HEAVEN," (Mark 14:61-62). Quoted from Psalm 110:1 and Daniel 7:3.
  • "But Saul kept increasing in strength and confounding the Jews who lived at Damascus by proving that this Jesus is the Christ," (Acts 9:22).
ALSO:

1. In Luke 4:18-19, Jesus quoted from Isaiah 61:1-2 and said, "The Spirit of the Lord is on me, because he has anointed me to preach good news to the poor. He has sent me to proclaim freedom for the prisoners and recovery of sight for the blind, to release the oppressed, to proclaim the year of the Lord's favor," (NIV).

2.The word, "Christ," means anointed. It comes from the Greek Χριστός, cristos, and is a translation of the Hebrew word for Messiah, מָשִׁיחַ, meshiyach, which means anointed. "He found first his own brother Simon and said to him, 'We have found the Messiah' (which translated means Christ),'" (John 1:41).
 
Who wrote the bible..!?
 
Si wamisri tu hata wayahudi walikuwa ni Blacks

Jamii zote za wanadamu asili yake ni Afrika

Cha kusikitisha,huu ukweli haujulikani kwa watu wengi
Huo ndio Ukweli, hao watu weupe walitengenezwa tu kwenye mahabara za hao blacks, na walitengenezwa kuwa wafanyakazi wa hao blacks
 
Kuna dhana pia kwamba weusi wa ngozi ya mafarao si hoja. Hoja ni kwamba maarifa yao ya ujuzi wa hesabu (mf. pai na kanuni ya Pythagoras), Elimu ya nyota (Astrology), Astronomia, uhandisi na ujenzi yaliingiliana sana na maarifa ya Waroma na Wagriki wa kale. Wengine wanakwenda mbali zaidi na kudai kwamba mawazo hayo kwa kiasi kikubwa yalitoka Roma na Ugriki ya kale.

Kama hivi ndivyo, hoja hii kengeufu inaendelea, japo mafarao hawa na Wamisri walikuwa Afrika na inawezekana ni kweli walikuwa weusi tititi kiteknolojia na kisayansi walikuwa wamefungamana na Roma na Ugriki ya kale. Ndiyo maana ujuzi na ugunduzi unapungua kwa jinsi unavyozidi kwenda Kusini mbali zaidi na Roma na Ugriki. Kwa hivyo basi, wanahitimisha watetezi wa hoja hii, maendeleo yote ya kisayansi na kiteknolojia yaliyotokea Afrika ya Kaskazini hayawezi kutengwa na mvuvumko wa kimaendeleo uliokuwa umejitandaza katika eneo hilo na chanzo chake kikiwa Roma na Ugriki ya kale.

Kuna ukweli katika hoja hii au ni zile juhudi za kimakusudi za kumdogosha mtu mweusi na kumfanya ajione kuwa hana mchango wo wote wa maana katika historia ya dunia wala maendeleo yake hasa kisayansi na kiteknolojia?

Ni kweli baadae Wagiriki na Wareno walionekana wako vizuri, lakini Elimu yote waliyokiwa nayo waliipata Africa, ilifikia kipindi mpaka wafalme wao ilibidi waje Africa "Egypt" ( Mfano: Mtume Jackob, Alexander the Great, Jesus nk),
kulikuwa na vitu vya kisayanzi hapo Misri ambavyo hao wazungu na Waarabu hawakuwahi kuviona kabla, Kilimo cha umwagiliaji cha kisasa, Umeme, tiba za kisasa-Operesheni, jinsi ya kuhifadhi Vyakula, kuifadhi Maiti, chariots za farasi nk

Je hao wazungu walikubali uwezo wa mtu mweusi?
Ndio waliukubali uwezo wa mtu mweusi, baada ya hao wagiriki na Wareno kuona maajabu ya hapo Misri, Ufalme wa Ureno uliamua kuoa binti mweusi awe miongoni mwa royal Family ya Kireno ya ili wapate damu ya hao watu weusi kwenye royal family zao, wakiamini uwezo wao,

hope sifa za hao black ndani ya royal family za kireno ilikuwa ya kutukuka kwa muda mrefu mpaka kipindi cha baada ya hao mapharaoh kaisi kwamba Royal Family ya German pia wakaja kuchua damu hapo kwenye royal family ya Kireno ya Margarita de Castro y Souza na mwisho kabisa England nao wakachukua damu yaa black kutoka kwenye hiyo royal family ya Kijerumani, so england walishawahi kuwa na black queen (Queen Charlotte) aliyekuwa mke wa King George III,

Hiyo Damu nyeusi kwenye royal family za Ujerumani na Uingereza ziko recent kiasi fulani, lakini kwa hao Wareno na Wagiriki zilikuwa ni za muda mrefu sana, kipindi hicho cha Mapharaoh
 
Back
Top Bottom