Je wajua Idd Amin alitabiri mwafrika kuwa rais wa Marekani?

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,802
18,527
Idd Amin aliota mtu mweusi atakuwa rais wa Marekani. Pia alitabiri mtu mweusi angekuwa Secretary of State of America. Na kweli yametimia!

 
Last edited by a moderator:
Huo haukuwa utabiri. Alikuwa anazungumzia wishes zake. Hakusema mwaka 2008 mweusi atakuwa rais Marekani. Huo ndio ungekuwa utabiri.
 
Na mimi natabiri kupitia ndoto niliyo ota kuwa kuna mwanamke atakuja kuwa raisi wa Marekani. Quote me on this....
 
Na mimi natabiri kupitia ndoto niliyo ota kuwa kuna mwanamke atakuja kuwa raisi wa Marekani. Quote me on this....
Ha!ha!ha!....MwanaFalsafa u made me logh kwa utabiri wako.....hilo ni swala la muda tu, kama Obama alivyo african-american president wa kwanza, bac hata mwanamke one day atakuwa rais
 
Hata mimi nilitabili la mweusi Kuongoza USA. "hakuna marefu yasiyo na ncha"
 
Mie natabairi zamu ya wengine kuongoza America inakaribia. Halafu baada ya utawala wao watafuatia mataifa mengine kutokea mashariki. Hii ni hakika kwani ni hivi:-

"Nilikuwa katika usingizi wa pono; nikaona na tazama, yule waliyemchinjia baharini wakidhani wameshinda kumbe wamefumbwa tu; Mola wake yu juu ya yote. Amewakirimia watu wake utawala wa mihula mitatu na nusu sawasaw na miaka kenda na kidogo juu ya taifa lile. Haya sasa, kuleni, kunyweni, mfurahi enyi waja wangu; hakika nimewalipieni kisasi cha mja wangu. Ila nakuapieni, hamtadumu, watakuja wengine kutoka mashariki kutawala tangu bara hindi hadi uchina kwa zamu. Kazaneni, tumieni panga zenu kwa bidii; mu karibu kushinda wala msiogope kupigania dini yenu hata kumwaga damu kwani pepo ni yenu."

Hiyo ndio ndoto aliyoota mja wa Mola na hakika hayana budi kutimia hata kwa ncha ya upanga; Sembuse Idd Amin!
 
Baraka Obama Huseni Onyango kwanza sio mweusi maana mama yake ni mzungu. Hivo ni mwafrika-mzungu. Unless u really desperate u aint gonna swallow tht sh!t. Mtu yeyote anayemchukulia serious yule charlatan Amin binafsi nna mashaka naye.
 
Back
Top Bottom