Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua hili kuhusu shirika la umeme/tanesco

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Apolinary, Jan 26, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,679
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Pamoja na shirika hili kupandisha gharama za umeme bado ndilo shirika pekee hapa Tzania lenye uwezo wa kutoa umeme wa viwanda/hospital/shulen na majumban mwetu.

  Ninachota kujua kutoka kwenu ni kwamba niliomba kufungiwa umeme nyumbani kwangu mwaka 2011 mwezi wa 9 na kufuata taratibu zote za malipo pamoja mchoro wa nyumba survive alipokwenda kupima vipimo vikaonyesha ni nguzo 2.

  Na hela niliyokuwa nayo ni ya nguzo 1 basi utaratibu ukaishia hapo huku nimeshalipa hela ya fomu na hela ya survaive sasa leo hii nimejenga nyumba ambayo itakuwa karibu na nguzo yaani karibu na barabarani.

  Je tanesco watakubali nitumie ile fomu iliyoshindakana mwanzo?

  NAWASILISHA
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,679
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
   
Loading...