Je wajua : Habari kwa nambari

Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,891
14,560
Nakunywa maji ya maembe kutoka Misri, nikafanya uchunguzi mdogo tu.

Misri ni jangwa, eneo linalolimika halizidi 3.5% yake (35,000 km2 katika bonde la mto Nile) na inauza nje maji ya maembe.

Tanzania ardhi inayoweza kulimika kwa rutuba ni zaidi ya 36.7% ya nchi (347000 km2) kama mara kumi ya eneo linalolimika la Misri.

Hata ukitoa mbuga na hifadhi zote ( Mbuga ya Selous peke yake inaipita Uswizi kwa ukubwa ! ) zifikazo 220,000 km2 (23% ya nchi) utabaki na zaidi ya 127,000 km2, zaidi ya mara 3.5 ya Misri, mito na maziwa mengi, lakini sijaona maembe ya Tanzania kuuzwa nje. Na zaidi ya yote habari hizi ziko kwa makisia ya kihafidhina zaidi, maana yake Tanzania kuna ardhi zaidi ya ilivyoonekana.Bongooo, kunani paleee ?
 
Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds.

Mkuu una maana tunashindwa kuzalisha kwa sababu wengi bado tuna mental slavery au vipi? Naona umepiga kigongo kikali halafu umekiacha kinaelea.

Maana mwingine anaweza kutafsiri kama nilivyouliza hapo juu, mwingine anaweza kusema kutaka kuingia katika biashara ya dunia na kuuza maembe nje ndiyo mental slavery yenyewe, sie tujilie maembe yetu tu, yaliyobaki tuache yaoze, tuishi kivyetu vyetu bila kuingia world trade ambayo ndiyo mental slavery.

Ungefafanua ingependeza zaidi.
 
Angalia msimu wa embe zinavyooza kwa kukosa walaji! Tatizo sio uzalishaj bali ukosefu wa teknolojia ya usindikaji wa embe hizo pamoja na ufungashaji unaofaa. Tukiweza kusidindika vizuri na kuzipack vizuri mbona tutapeleka nje?
 
Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds.

Mkuu, nilitaka kukugongea senks mara nne-sema imegoma. The man who wrote this line is NEVER dead!
Watanzania zetu ni kulaum sana tu, hakuna mtu anaweza kujisema yeye bali kusema wenzake!!!!! Kama huyu bwana amenusa hii opportunity inashangaza ni kwa nini bado anavaa tai na kung'ang'ania kibodi ya ngamizi badala ya kukimbilia shamba? Ana mawazo mgando yenye upungufu wa upembuzi fikirifu na vipimo vyake vimejaa unyongefu!! no body is gonna do nothing for any one...! do it yourself! wenzako wameshawahi mashamba wewe umekalia kiti cha kuzunguka!KARAGABAHO.
 
Mazee unayoyasema unayajua au unakisia tu? Unajua kweli kwamba huyu hana mashamba bongo?
 
Tatizo ni kutokuwepo kwa wawekezaji kutosha wanaotumia technologia ya kisasa kupack na kuhifadhi maji ya maembe. Hii ni nafasi nzuri kwenye uwekezaji wa kilimo kwanza kwa watu ambao wangependa kuanziasha biashara ya usindikaji wa maembe, Azam naona anapeta na vijoti...
 
bob aliongea sema wengi walimwona bangi ila maneno yake yalikuwa na mana sana nilikweli bado tupo kwenye utumwa wa mawazo bado tupo kwenye kisima cha maji na bado tunalalamika tunasikia KIU mungu ametupa zaidi ya tunayo yaitaji ili tufanikiwe ila tumekataa kufanikiwa ooh tanzania nani amekuloga wageni wanakuja masikini wanatajirika mbele yako na macho yako yanaona na kufuraia mgeni akifanikiwa ndugu yako akifanikiwa ktk yako unakasirika unasema ni mwizi ,fisadi mh
 
Mkuu una maana tunashindwa kuzalisha kwa sababu wengi bado tuna mental slavery au vipi? Naona umepiga kigongo kikali halafu umekiacha kinaelea.

Maana mwingine anaweza kutafsiri kama nilivyouliza hapo juu, mwingine anaweza kusema kutaka kuingia katika biashara ya dunia na kuuza maembe nje ndiyo mental slavery yenyewe, sie tujilie maembe yetu tu, yaliyobaki tuache yaoze, tuishi kivyetu vyetu bila kuingia world trade ambayo ndiyo mental slavery.

Ungefafanua ingependeza zaidi.
Manii zimekuharibu kila ukiongea lazima ubane pua bado operation tuu
 
Back
Top Bottom