Je wajua faida za kufanya biashara/shughuli yeyote kama kampuni

Mgoda simtwange

Senior Member
Sep 7, 2012
168
64
Jamani mnisadie faida na hasara za kuendesha biashara au shughuli yoyote ile kama kampuni, mfano kuendesha restaurant, usafirshaji nk kama kampuni, badala ya kufanya kama biashara ya kawaida
 
Back
Top Bottom