Chukua maganda ya malimao changanya na iliki paamoja na pilipili manga kisha weka mchanganyiko huu ktk sufuria yenye maji kiasi kisha chemsha kwa dakika 10 na dawa itakua tayari. JINSI YA KUTUMIA: Kikombe cha chai x 2 kwa siku hapo utakuwa umekamilisha tiba.
Dawa Ya Kuzuia Kutapika Na Kuharisha
Wakati Mmoja Wetu Anapotapika Na Kuharisha Ikiwa Ni Mtu Mzima Au Mtoto Dawa Kubwa Inayozuia Ni Kukamua Ndimu Na Kutia Maji Kisha Utie Chumvi (juice Ya Ndimu Yenye Chumvi). Na Usinywe Yote Kwa Pamoja Uwe Unakunywa Kidogo Kidogo Na Uwe Unasita Kama Dakika Tena Unakunywa Tena Na Hivyo Hivyo. Huenda Mtu Atatapika Mara 3 Au 4 Na Kuharisha Lakini Kwa Kuendelea Kunywa Hiyo Juice Kila Baada Ya Dakika Atazuia Ishaallah Kwa Idhni Yake Allah.
Kunywa chai ya Tangawizi na juisi ya machungwa pia itaweza kukusaidia.Mkuu KapwelaUwa nakukubali sana MziziMkavu kwenye hii fani.
Msaada kidogo, sasa hii dawa mtu ambaye pia anaupungufu wa damu inamfaa?na kwa kuwa ni muda mrefu toka uandike haya je kuna option nyingine zaidi ya hii?naomba msaada hapo
Kunywa chai ya Tangawizi na juisi ya machungwa pia itaweza kukusaidia.Mkuu Kapwela
Nosic tabs