Je wajua????-CCM imeshika nafasi ya Tatu Udiwani Tanga

acha uongo wewe. CCM imeshika namba 2, CHADEMA hawana mtaji Tanga...Kwa taarifa yako, hiyo kata ilikuwa ni ya CUF...

MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO:

Waliojiandikisha: 8,504
Waliopiga kura: 2,040
Kura zilizoharibika: 13
Kura Halali 2,027

MATOKEO:
CUF: 1,142
CCM: 714
CHADEMA: 170
UDP: 0
ADP: 1
 
GreatThinkers,
Katika hali ambayo inaweza kuwa somo kwa walioko juu, wajiaani kwandae kuondoka.
CUF imeshinda Tanga, CDM ya Pili na CCM ya Tatu.

Je hii ni indicator gani kwa mafisadi?

Acha uongo wewe. CCM imeshika namba 2, CHADEMA hawana mtaji Tanga...Kwa taarifa yako, hiyo kata ilikuwa ni ya CUF...

Peoples Power, CCM kimekuwa chama cha upinzani..........
 
acha uongo wewe. CCM imeshika namba 2, CHADEMA hawana mtaji Tanga...Kwa taarifa yako, hiyo kata ilikuwa ni ya CUF...

MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO:

Waliojiandikisha: 8,504
Waliopiga kura: 2,040
Kura zilizoharibika: 13
Kura Halali 2,027

MATOKEO:
CUF: 1,142
CCM: 714
CHADEMA: 170
UDP: 0
ADP: 1

haaaah, haaaah......join date 3/4/2012.....umehamia airtel,usiishie hapo hamia kabisa airtel kubwa-baba lako CHADEMA,ni kipupwe mwanzo-mwisho,ni baridi hakuna Lusinde,Nape,Mwigulu,Lowasa wala Ucircumcised baboon, tunagonga stor za maendeleo mda wote, stor za kuuwa watu kwa sumu hakuna, stori za kuzini na mademu wa makada hakuna
 
Hii ni indicator kwamba ccm haitafanikiwa hata kuunda kambi rasmi ya upinzani 2015.
2015 CCM wataunda kambi ndogo ya upinzani bungeni, kama ile ya Hamadi Rashid aliyokuwa anataka kuunda ikakosa attention sasa kahamishia kwenye uongozi wa CUF nao wakamchinjia baharini.
 
Acha uongo wewe. CCM imeshika namba 2, CHADEMA hawana mtaji Tanga...Kwa taarifa yako, hiyo kata ilikuwa ni ya CUF...

MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO:

Waliojiandikisha: 8,504
Waliopiga kura: 2,040
Kura zilizoharibika: 13
Kura Halali 2,027

MATOKEO:
CUF: 1,142
CCM: 714
CHADEMA: 170
UDP: 0
ADP: 1

Kaka hebu angalia vizuri hiyo kitu, inamaana UDP hata yeye mwenyewe hakujipigia kura sasa kwa nini aligombea..
 
haaaah, haaaah......join date 3/4/2012.....umehamia airtel,usiishie hapo hamia kabisa airtel kubwa-baba lako CHADEMA,ni kipupwe mwanzo-mwisho,ni baridi hakuna Lusinde,Nape,Mwigulu,Lowasa wala Ucircumcised baboon, tunagonga stor za maendeleo mda wote, stor za kuuwa watu kwa sumu hakuna, stori za kuzini na mademu wa makada hakuna

Haahaa haaahaa mkuu umeuaaaa magamba hoi! Huyo kipemmba wa ccm umemmaliza kabisa!
 
Mwanzo mzuri kwa chama cha wananchi C.U.F baada ya kutoka kwenye misukosuko yakupoteza wanachama
 
CCM are busy digging their own cemetary, too hell.
RIP CCM
 
Unataka kujua majina ya nin?akili yako inawaza udini tu.mijitu mingine yaajabu kwel
 
Katika historia mwanadamu ameshuhudia dola zikikua, kushamiri na kufikia kilele hatimae huanguka. Mwanahistoria mmoja alisema ukoloni ulikuwa na mbegu ambayo ndiyo liyokuja kuumaliza yaani "Colonialism contained the seed of its own destruction" na CCM ni hivohivo
 
Back
Top Bottom