Je Wabunge wapo kwa maslai ya Taifa, wao au wananchi walio wachagua

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Ndio hamu na shauku yangu na wewe mwanachi na hasa ukiwa mfanyakazi kufahamu bunge la Tanzania linaisimamia serikali au serikali inalisimamia bunge kwa wao kusimama kidete kupinga sheria ya fao la kujitoa irudishwe kwani inakingana na haki za kibinadamu. Au kama Tanzania wameiga mkataba wa ILO ambao kimsingi hawakuridhia basi watuwekee fao la kujikimu pindi mwananchi akiwa hana ajira. Sasa ni muda sahihi wa kupima uwezo wa bunge kiutendeji bila kuweka maslai ya chama pamoja na mafisiiii sadi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom