Je, Wabunge wa Tanzania wanalipa PAYE?

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,819
587
PAYE imekuwa mrija unaotumika kutudidimiza wafanyakazi. Viwango ni vikubwa mno. Je, wabunge wanalipa? Naomba kujulishwa.
 
Kwenye mishahara wabunge wanakatwa PAYE, marupurupu yao ndiyo hayakatwi kodi. Kiongozi anayelipwa mshahara na marupurupu bila ya kukatwa kodi ni rais pekee yake. Ni sheria mbovu sana iliyopitishwa na serikali ya ccm, kiongozi mkuu wa taifa kuishi kwa kutegemea mwananchi wa hali ya chini alipe kodi ili yeye azifaidi bila ya yeye mwenyewe kuchangia chochote kwenye maendeleo ya taifa lake.
 
Thanx for detailed answer.
 
Ndugu angu wapendwa wana wa JF inauma sn kuona kuwa ubunge umekuwa ni janja yakulifirisi Taifa, kama wanalipa PAYE kwenye mishahara inakuwaje wasilipe kwenyen posho zao wakati wanalipwe 1m kwa lunch 1 wakati mtu wachini atakatwa kila watacho pata, imefikie ss tukubariane kuwa ujanja wa sheria ya kuwalinda wakubwa zikome ili kila mtu achangie GDP ya Taifa na siyo watu wa chini peke yao.
 
Back
Top Bottom