Je Waafrika tuna laana?? Kwanini tunabaguliwa kila mahali??

Mzee wa Upako nyuma ya stage yake kuna bonge la bendera ya Israel fanya masihala nini taifa la mungu lile ukiona hawatutaki basi hata mungu hatutaki tehe tehe wazee wa kuipaisha israel mpooo
lazima aweke hiyo bendera maana anatumia ancient jewish literature kama nyenzo ya kujipatia mkate wake wa kila siku..akili kumkichwa.
 
Waafrika ni wezi, tena wizi wao wa kijinga, mtu unaiibia nchi yao ili umnufaishe mgeni. Ndio maana mnabaguliwa kwa wehu mnaoufanya
 
na nyie si mnabeba bendera zao kwene magari yenu. miafrika bana..sasa mnalalamika nini? nchi zenu mmewapa watu wapuuzi kama magamba ili wawaongoze na in return wanaletea ufukara wa kutupa, baada ya kuona nchi zenu hazikaliki due to your own stupid decisions/indecision mnaona solution ni kuhamia kwa wengine..hawaezi kukubali. call them racists or whatever, they won't entertain you.

Poor minds!
 
Mzee wa Upako nyuma ya stage yake kuna bonge la bendera ya Israel fanya masihala nini taifa la mungu lile ukiona hawatutaki basi hata mungu hatutaki tehe tehe wazee wa kuipaisha israel mpooo

tupoooooo... hahahaaa!!!
 
Lazima tudharauliwe kama kila siku unakwenda kutembeza bakuli kuombaomba wakati unazo rasilimali za kutosha unatazamia nini?
 
Tunabaguliwa kwa sababu sisi wenyewe tunabaguana,hatuthaminiani,hatupendani,wavivu wa kufikiri,waoga,hatuna umoja,simple example mkenya na mtanzania embu tafakarini?
 
Kwani nani anayepaswa kusimamia UAFRIKA wetu, zaidi ya sisi wenyewe? Wenyewe tunajikataa, itakuwaje race nyingine kwetu?
Mara ngapi tunapuuza vya kwetu na kushobokea vya wenzetu? Unyonge gani huu tunaojitengenezea wenyewe na nani atatuheshimu hali wenyewe tunajhdunisha? Hatuna chetu katika siasa, uchumi, tamaduni, na hata social life ya kawaida, unataka tuheshimike kwa lipi sasa? Hata hivyo, wao kutubagua ni strategically, the aim is to create "inferiority complex" into our minds, na wanafanikiwa kwa kiwango kikubwa sana! Poor African! TULISHAZIKWA HAI, TUSIACHE WATOTO WETU NAO KUFIKWA NA HAYA, TUPIGANIE KUWANUSURU.
Mungu wetu anaita!
 
Waafrica hatujawahi kuwa proud of who we are!! They planted something in our heads! This starts from when they colonized us! Wakaondoka, thanks kwa juhudi za wazee wetu, kwa kutukomboa... Whites walikuwa wajanja kwa kutuachia minds za kutawaliwa, bado tumekubali kuruhusu akili zetu kutofikiri kama sisi.

Kwani ni kitu gani kinachotushinda kuboresha hali ya wananchi wetu!!! Mathalani angalia suala la afya, watawala wetu, waliojaa minds za kikoloni, hawataki kuimarisha hospitali zetu, at the same time wanajiwekea policy ya kujitibu nje wakiugua... Watawala wetu tena kwa makusudi, hawataki kuimarisha elimu katika shule zetu, wao kwa kuwa wana nafasi ya wizi wa mali ya wote, wanawapeleka watoto wao nje, kwa shule za whites, kwa kuwa wanaamini hakuna kilicho bora zaidi ya vya nje, cha kushangaza kabisa, shule na vyuo hivyo vya nje vimejaa walimu wa-afrika!!

Watawala wetu wanatuibia mali ya umma kwa ufisadi, badala ya kuwekeza hapa ndani, wanakimbiza nje, kwenye visiwa..(mnavijua wenyewe...) Whites wanafanyia biashara hela zao walizotuibia, wao wankwenda huko mara mbili kwa mwaka kuchukua faida na kununua ngua wanarudi na nyimbo nzuri nzuri tu!!

Wakati haya yanaendelea, hali ya wananchi wa africa inazidi kuwa mbaya, na kwa kuwa watawala wetu hawajali kamwe hali yetu, ndipo juhudi binafsi zinapokuja, watu wanapanda miboti kuvuka kukimbilia ulaya, akina dada zetu wanakwenda huko njee kujiuza, ndugu zetu wanakimbilia huko nje kufanya misheni town kujipatia angalau za kula!! kwa kuwa mifumo ya wenzetu imenyooka na hakuna ubabaishaji, ndugu zetu hawa wanajikuta katika halia ngumu yamaisha, wengine wanakimbilia kujilipua ili wapate haki za raia wa huko, wengine wanaanza kuwa transporters wa biashara haramu, ali-muradi tu maisha yaende! Pilikapilika zinapokuwa ngumu zaidi, wengine wanajiingiza kwenye utapeli, na wizi mdogo mdogo, mwisho wa siku wenye nchi zao wanagundua majanga kutokana na uwepo wetu!!

Basi jamani, kama kweli hatuyahitaji amnyanyaso haya, turudi nyumbani kuunganisha nguvu zetu na kumuondoa mkoloni mambo leo, tujiwekee utaratibu mzuri wa kuishi na kuboresha maisha yetu hapa hapa nyumbani kuepuka laana za weupe hao!!
 
Back
Top Bottom