Je Waafrika tuna laana?? Kwanini tunabaguliwa kila mahali??

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Hamna afadhali, tunabaguliwa na watu wote. Wahindi, Wachina, Warusi, Wayahudi, Walatini nakila jamii zinatuona kama takataka.
Hivi kibaya ni kipi haswa ambacho tumekifanya?

Thousands of Israelis, including high-profile politicians, attended an anti-African demonstration in Tel Aviv. The rally turned violent, with attacks on Africans and grocery shop windows being smashed. *The gathering, which took place in Tel Aviv's Hatikva neighborhood, targeted the influx of African asylum seekers and was organized by Michael Ben Ari, a Knesset member from the National Union party, along with far-right activists Itamar Ben-Guir and Baruch Marzel, Israeli newspaper Haaretz reports.

Many protesters also blamed the government, and Benjamin Netanyahu specifically, for inaction.

But the rally was also attended by politicians from the ruling Likud party, including Knesset members Miri Regev and Danny Danon.

Former army brigadier general and Israeli Defense Forces spokeswoman Regev described asylum seekers as a "cancer in our body."

afp-photo-roni-37832.jpg

Kwa habari zaidi:-

Israeli Kristallnacht: Africans attacked in Tel Aviv anti-migrant demo (PHOTOS) — RT
 
na nyie si mnabeba bendera zao kwene magari yenu. miafrika bana..sasa mnalalamika nini? nchi zenu mmewapa watu wapuuzi kama magamba ili wawaongoze na in return wanaletea ufukara wa kutupa, baada ya kuona nchi zenu hazikaliki due to your own stupid decisions/indecision mnaona solution ni kuhamia kwa wengine..hawaezi kukubali. call them racists or whatever, they won't entertain you.
 
It is because we behave like human beings without enough grey and white matter in cerebral cortex in our brains!
 
na nyie si mnabeba bendera zao kwene magari yenu. miafrika bana..sasa mnalalamika nini? nchi zenu mmewapa watu wapuuzi kama magamba ili wawaongoze na in return wanaletea ufukara wa kutupa, baada ya kuona nchi zenu hazikaliki due to your own stupid decisions/indecision mnaona solution ni kuhamia kwa wengine..hawaezi kukubali. call them racists or whatever, they won't entertain you.

mesej senti
 
This is the best post ever seen by me. Umenena ukweli mdau. Mim nakuombea tu kwa mungu akujalie afya njema. Black are the row material of whatman don't u find ths is a ****. Kila kitu they need tunacho. Alaaniwe yule anayejiita bwm for for his selfish. I wish angekufa kwa kupigwa mawe. Tanzania what is in our head? We don't think for our children n young's? Mnafukuza raia coz of uwekezaji in need of white's. Thank Mwinyi for leting us know that we are kichwachawendawazimu.
 
AND STILL WAZEE WA MDEBWEDO WANATAKA KUVUNJA MUUNGANO KISA EAMEAHIDIWA MAISHA BORA NA MU ARABU. WTF...
Yetu macho.
 
Nakumbuka mfano wa hayati baba wa taifa wa mtu mwenye almasi na mwingine mwenye vipande vya chupa(almasi feki).....kama hata lugha ya kubudia tunaamini Mungu anasikia ki-Latin, kiarabu na sio kiha, unategemea wanaotumia lugha hizo wanakutazamaje? ZUZU!
 
na nyie si mnabeba bendera zao kwene magari yenu. miafrika bana..sasa mnalalamika nini? nchi zenu mmewapa watu wapuuzi kama magamba ili wawaongoze na in return wanaletea ufukara wa kutupa, baada ya kuona nchi zenu hazikaliki due to your own stupid decisions/indecision mnaona solution ni kuhamia kwa wengine..hawaezi kukubali. call them racists or whatever, they won't entertain you.

na mim juzi nimekutana na vijana wawili wa kitanzania wamevaa suti nzima ni bendera ya marekani...
kweli nilishangaa
 
Africans will soon be respected if they realize their potentiality on this planet. Tukianza kufanya mambo kizalendo na kuzipenda nchi zetu basi tutaheshimika. Lakini si kupitia hawa viongozi wetu, wameshachakachulika mnoo.
 
Kweli tukileta maendeleo kwenye nchi zetu ndio watatuheshimu, kila kukicha civil wars, kila kukicha ufisadi.....

THat is why Wanatushangaa na kutudharau pamoja na raslimali zote tulizonazo bado ni maskini, mwishowe ndio hivyoo wanatubagua because we have nothing that can make them respect us...

Look China, mzungu alikuwa anamdharau mchina na kumbagua, lakni sasa wanawaheshimu sana wachina....!!!
 
Razima watuzalau kama tunachagua marais ambao wanakua ombaomba au wanafanya mambo ya ajabu ajabu mimi nashangaa rais anasimama mbele ya vyombo vya kimataifa anamsifu na kumpongeza Mugabe alipochukua ardhi ya wazungu wakati huohuo meli ya marekani imepiga nanga inpakua maindi ya msaada kwa wananchi wa zimbabwe, Black people is the symbol of poverty.
 
na nyie si mnabeba bendera zao kwene magari yenu. miafrika bana..sasa mnalalamika nini? nchi zenu mmewapa watu wapuuzi kama magamba ili wawaongoze na in return wanaletea ufukara wa kutupa, baada ya kuona nchi zenu hazikaliki due to your own stupid decisions/indecision mnaona solution ni kuhamia kwa wengine..hawaezi kukubali. call them racists or whatever, they won't entertain you.

Igwe like this......
 
Na tabia yenu ya kuchekacheka hata kwa mambo ya kuwa serious,unajichekesha tu,ukiulizwa kwa nn we ni maskini na ombaomba wakati mali za asili kibaaaao,oooh hata mie sijui,utaacha kudharaulika?hivi hata ktk mazingira ya kawaida,kila siku m2 anakugongea mlango naomba chumvi,naomba sukari,naomba unga nk,utamchukuliaje m2 huyo na unamuona hana kasoro yoyote physically?ndivyo tulivyo waafrika wengi,hatui serious,tunategeme a sana nature badala ya kumanipulate mazingira yatusaidie,m2 analima na kutegeme mvua,hana alternative nyingine ya kumwagilia,hafikirii hilo,madarakani yamejaaa manyang'au tu yanakwiba mali,tunasubiri nature,yakwapue mpaka yachoke na kutuachia mifupa,tumerelax hatuna hata wac,as if tupo peponi,kumbe hohe hahee wa kutisha,watu hawajui haki zao,aliyepo madarakani ndo anaamua akupe au asikupe haki yako,kudai unaogopa hujiamini,sasa kwa hali hiii nani atakutaka nchini kwake?maana huna msaada wowote,zaidi ya kusambaza sumu mbaya ya uoga na ujinga
 
Mzee wa Upako nyuma ya stage yake kuna bonge la bendera ya Israel fanya masihala nini taifa la mungu lile ukiona hawatutaki basi hata mungu hatutaki tehe tehe wazee wa kuipaisha israel mpooo
 
Waafrika tumekuwa na fikra mgando kwamba bila watu weupe hatuwezi kitu, lakini mbona tunawaburuza kwenye michezo ina maana kwenye nyanja nyingine ndiyo hatuwezi si kweli. Tuaache utegemezi kukuza uchumi wetu tunaweza bila kutegemea hao weupe resources tunazo kuliko wao. Ni umbumbumbu wetu ndiyo tunaodhalilika nao.
 
Mkuu kama unamtegemea jirani kuendesha familia yako unategemea nn hapo?
 
Back
Top Bottom