Je, viongozi wetu ni aina gani?

Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,273
678
Siku moja nikiwa katika nyumba fulani ambapo hutolewa huduma ya Kiroho mtoa huduma hiyo aliongelea aina 3 ya viongozi (kwa mtazamo wake) kama ilivyo hapa chaini.

Je viongozi wetu hasa wa Kitaifa ni viongozi gani?
1. Kiongozi 1; Twendeni
Huyu ni aina ya kiongozi anayesikiliza watu, anayeongoza kwa misingi ya uongozi, mwadilifu, anajisahihisha na kusahihishwa ana upendo.

2. Kiongozi 2; Nendeni
Huyu anajali mambo yake tu katika uongozi wake, hana mda wa kusikiliza wale anaowaongoza na uongozi wake ni wa holela. Huyu anataka uongozi ili tu kurahisisha mambo yake kwa faida yake binafsi

3. Kiongozi 3;Nifuateni
Huyu ana element ya dictator,mlafi wa madaraka, hana ubindamu, ana amini mawazo yake tu, hana huruma na upendo juu ya wale anaowaongoza,
 
Vitabu vitakatifu vinasema Mungu atatuletea viongozi wanaofanana na wanaowatawala kwahiyo viongozi wetu ni image yetu kwani sisi ni wa aina gani?
 
Back
Top Bottom