Je UWT au UWCCMT

Oct 16, 2012
15
2
Nimeanza na swali nikiwa sielewi maana halisi ya Umoja Wa wanawake Tanzania hasa ukuzingatia muda tulio nao kwa sasa tupo kwenye vyama vingi lakini cha kushangaza mama zetu ukiangalia siku ya uchaguzi wao walivalia nguo zenye rangi ya chama cha CCM yaani kijani na njano wengine mnaweza mkaleta utani mkasema pia hata timu ya Yanga wanatumia rangi hizo hizo. Maana yangu kuleta habari hii ni kuwakumbusha akina mama wa Tanzania waende na wakati itafika kipindi umoja wao utaishiwa wanachama wabadilike maana halisi ya Uomoja wao wanaupotosha labda wangeliita Umoja Wa Wanawake CCM Tanzania hapo tungelienda sawa sawia kabisa.
 
hivi kwani umoja huu wa wanwake uliasisiwa wapi? umoja huu uliasisiwa na CCM wakati wa mwl JK. I SAWA NA ILIVYO UVCCM. wao kuita umoja wa akina mama inamaana ni kwa wale wamama wafuasi wa chama hicho tu ndio umoja wao. kwakua wao ndio walioanzisha hlo jina kwann wabadilishe?

sidhan kama tanzania kuna umoja ama usghirika wa wamama wote basi ka lipo lafaa liitwe majina mengne kama baraza la wanawake tanzania ama ushirika wa wanawake tanzania kama ishu ni hiyo semi ya ....."wanwake tanzania"
 
kama hivyo ndivyo sitaki kuwa na wala kujihusisha na UWT si leo si kesho.
 
ninashangaa jukwaa kama hili tunashindwa kuwaza kwa kina zaid wao kusema ................tanzania inamaanisha ni wanawake wote wa ccm tanzania.

ukija makanisani utakuja umoja wa wanawake wa kilutheri, ama wanawake wakatoliki tanzania sasa hapa sidhan kama kuna tatizo so long as hiyo ilikuwa ni jina lao from day one na hakuna sababu ya msingi ubadilisha
 
Mimi naona waitwe UWCCMT badala ya UWT hii inajumuisha wakina mama wote Tanzania tutakukuwa tunakosea kujumuisha hata wakina Mama ambao hawamo humo
 
aiseeee babaangu sheria za uchaguzi zinakataza mpiga kura kuvaa au kuvalia nguo yoyote yenye rangi ya chama flani au kuonesha alama cha chama flani,,so mnapotuambia huo ni umoja wa wanawake tanzania mnakosea sana,,,huo ni umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi

naomba kuwasilisha
 
Mama Tibaijuka alitaka kuanzisha baraza la wanawake tanzania lakini CCM wakampiga vita kwamba limekaa kisiasa.

Now anakula kwa ulaini ndani ya CCM sidhani kama anakumbuka tena, njaa mbaya.....
 
Back
Top Bottom